Lebanon wameweza. Tanzania na Africa tunafeli wapi?

Ulikuja speed natumai ushapoza speed pimbi wewe

mapimbi kama nyie tunawaHadle tu
Nawezaje kupoza speed kwa mtoto anayezunguka na bahasha mjini na akirudi analala sebuleni kwa dadake akisikilizia ukuni anaopigwa dadake?
 
Mkuu kwanza Lebanon wana mabilionea wengi sana pengine kushinda nchi zote za kiarabu Including hizo za Mafuta, Ila culture yao ukiwa mkubwa una ondoka nyumbani kutafuta maisha. Kunapokuwa na mabilionea Pia kuna kuwa na funds, nimecheki hii kampuni Imeingia new York stock na valuation ya $220m hii ni zaidi ya bilioni 500 za Kitanzania, kama nusu ya Utajiri wa Bakhresa.

Kutoka Shuaa Funds tu hawa jamaa wamepewa $50M ambayo ni zaidi ya Bilioni 100. Bado funds mbalimbali nyengine.

Kibongo bongo hata huko Ulaya ngumu kupata hela za mchezo mchezo hivyo. Indiegogo hela kubwa kabisa kulipwa ni 17m, kickstarter Ni 20m. Hizi Ndio funding kubwa za wajasiriamali.
 
Kuna kitu Mkuu unachanganya kuwa katika eneo fulani kuwa na mabilionaire wengi hakufanyi eneo lako kuwa na Ecosystem nzuri ya Startup hasa hasa tech startup..

Hong Kong ina mabilionaire wengi lakini tech startup ni za kuhesabu ambazo ni Klook na GogoVan na hizo zimewekezwa na wawekezaji wa nje

Monaco, Macau, Hawaii, kuna mabilionaire wengi sana lakini hakuna tech startup

Simply they dont invest in startups

Kinachojenga Startup Ecosystem ni vitu vingi mnoo sio tu uwepo wa billionaires

Nenda kasome Report ya Startup Genome uone Beirut inaingia kwenye List ya gani kwenye Startup Ecosystem ni haipo hata top 30

Kuwa na matajiri wa mafuta haifanyi iwe na Startup Ecosystem nzuri.. na fanya reseach yako vizuri mkuu huwezi fananisha Funds zinazotolewa na Venture Capitals wa America, EU na Funds zinazotolewa na Venture Capitals wa MENA useme eti Anghami imepokea hela nyingi, kwa startups ni hela ya kawaida mnoooo

Narudia kusema mnoo ukipata muda ingia CRUNCHBASE uone jinsi startups zinavyopata mpunga wa uwekezaji

Huwezi fananisha America , China , EU na MENA never

Soma ripoti za MAGNITT ambazo wana publish kuhusu Startups za MENA ndio utaelewa

Sasa Soma ripoti za MAGNITT kisha soma ripoti za CRUNCHBASE

Swali dogo tu niambie ukiachana na CAREEM ambayo ilinunuliwa na Uber ni Startup gani From MENA ni UNICORN..

UNICORN (Ni startup zenye valuation kuanzia $1B) nenda kaangalie list ya Unicorn startup from MENA sidhani kama ipo startup yeyote yenye valuation kuanzia $1B na ikumbukwe moja ya factors kubwa ambazo zinafanya startup iwe na Valuation kubwa ni nguvu ya mtaji iliyonayo so kama Lebanon Lebanon inaongoza kuwa na mabilionaire basi ingekuwa na startups nyingi zilizo Unicorn

Ukiangalia hata Investment zinazotolewa US, EU na Mena ni tofauti

Mfano US seed investments ni $2M + wakati MENA ni around $900K wakati EU ni angalau $1.2M

Cha kushekesha Anghami imekuwa listed public ikiwa na value $200M wakati Airbnb wameingia public na valuation ya $36B Frame a picture
 
Mkuu kwanza Lebanon wana mabilionea wengi sana pengine kushinda nchi zote za kiarabu Including hizo za Mafuta, Ila culture yao ukiwa mkubwa una ondoka nyumbani kutafuta maisha. Kunapokuwa na mabilionea Pia kuna kuwa na funds, nimecheki hii kampuni Imeingia new York stock na valuation ya $220m hii ni zaidi ya bilioni 500 za Kitanzania, kama nusu ya Utajiri wa Bakhresa.

Kutoka Shuaa Funds tu hawa jamaa wamepewa $50M ambayo ni zaidi ya Bilioni 100. Bado funds mbalimbali nyengine.

Kibongo bongo hata huko Ulaya ngumu kupata hela za mchezo mchezo hivyo. Indiegogo hela kubwa kabisa kulipwa ni 17m, kickstarter Ni 20m. Hizi Ndio funding kubwa za wajasiriamali.
Kickstarter unazosema ni aina tofauti ya investment hiyo unaongelea Crowdfunding

Hapa Mkuu hatuongelei Crowdfunding means of investment no

Tunaongelea Equity Financing
 
Kuna kitu Mkuu unachanganya kuwa katika eneo fulani kuwa na mabilionaire wengi hakufanyi eneo lako kuwa na Ecosystem nzuri ya Startup hasa hasa tech startup..

Hong Kong ina mabilionaire wengi lakini tech startup ni za kuhesabu ambazo ni Klook na GogoVan na hizo zimewekezwa na wawekezaji wa nje

Monaco, Macau, Hawaii, kuna mabilionaire wengi sana lakini hakuna tech startup

Simply they dont invest in startups

Kinachojenga Startup Ecosystem ni vitu vingi mnoo sio tu uwepo wa billionaires

Nenda kasome Report ya Startup Genome uone Beirut inaingia kwenye List ya gani kwenye Startup Ecosystem ni haipo hata top 30

Kuwa na matajiri wa mafuta haifanyi iwe na Startup Ecosystem nzuri.. na fanya reseach yako vizuri mkuu huwezi fananisha Funds zinazotolewa na Venture Capitals wa America, EU na Funds zinazotolewa na Venture Capitals wa MENA useme eti Anghami imepokea hela nyingi, kwa startups ni hela ya kawaida mnoooo

Narudia kusema mnoo ukipata muda ingia CRUNCHBASE uone jinsi startups zinavyopata mpunga wa uwekezaji

Huwezi fananisha America , China , EU na MENA never

Soma ripoti za MAGNITT ambazo wana publish kuhusu Startups za MENA ndio utaelewa

Sasa Soma ripoti za MAGNITT kisha soma ripoti za CRUNCHBASE

Swali dogo tu niambie ukiachana na CAREEM ambayo ilinunuliwa na Uber ni Startup gani From MENA ni UNICORN..

UNICORN (Ni startup zenye valuation kuanzia $1B) nenda kaangalie list ya Unicorn startup from MENA sidhani kama ipo startup yeyote yenye valuation kuanzia $1B na ikumbukwe moja ya factors kubwa ambazo zinafanya startup iwe na Valuation kubwa ni nguvu ya mtaji iliyonayo so kama Lebanon Lebanon inaongoza kuwa na mabilionaire basi ingekuwa na startups nyingi zilizo Unicorn

Ukiangalia hata Investment zinazotolewa US, EU na Mena ni tofauti

Mfano US seed investments ni $2M + wakati MENA ni around $900K wakati EU ni angalau $1.2M

Cha kushekesha Anghami imekuwa listed public ikiwa na value $200M wakati Airbnb wameingia public na valuation ya $36B Frame

Ila ukiwa na na hela isiyo na kazi ni rahisi kwa startup kupata vile vile.

Hela za Mafuta sio sawa na hela za kutolea jasho ndio maana angalia investment nyingi za hizi hela zina mashaka, angalia tu state ya Manchester city na Psg.

Shuaa capital value yake ni kama $14B hapo Kuna zaidi ya trilioni 30, kuna kampuni kama hizi kibao Mena,
. Hizi hela zimekua invested maeneo kibao kuanzia miziki kina vevo, hadi social network kina Twitter, ukienda kwenye chip manufacturing zipo etc.

Nikipata muda nitakuwekea investment fund za Mena ni matrilioni ya Hela aisee hao jamaa wana diversify uchumi...

Na hizo figure za us kama 2m, EU na Mena 900k mbona kama ni ndogo sana hivyo si visenti tu?
 
Habarini waungwana

Okay iko hivi wiki hii story kubwa ni kuhusu kampuni ya Anghami kuweza kuingia kwenye soko la Hisa la Marekani la NASDAQ na kuwa kampuni pekee ya Lebanon kufanikisha kuingia kwenye soko la Hisa la NASDAQ

sasa basi tuangalie Anghami ni nini?

Anghami ni kampuni ambayo inatengeneza mfumo wa Ku stream miziki kama ambavyo Apple, Deezer na spotify

Anghami wao wamejikita kuweka miziki katika soko la Uarabuni kwa maana MENA Region (Middle East and North America )

Anghami ilijikita zaidi katika kuweka miziki ya wasanii wa MENA Region ambapo iliweza kuwa na watumiaji takribani 50M katika ukanda wote wa MENA sanjari na hilo iliweza kutumiwa na waarabu wengi waliopo maeneo mbalimbali Duniani

Hii ilipelekea kuwavutia wawekezaji ambapo tangu uanzishwaji wake mwaka 2012 imeweza kupata uwekezaji wa $14M ambazo ni zaidi ya Tsh 30B

Hii ilipelekea mapato ya kampuni hiyo kuongezeka kwani ilikadiriwa kuwa na watu takribani ya 5M kuweza kulipia kila mwezi

Mpaka kufikia mwaka huu mpaka kuingia kwenye soko la hisa la NASDAQ Anghami ilikuwa na thamani ya $220M sawa na zaidi ya Tsh 500B

TANZANIA NA AFRICA TUNAKWAMA WAPI?
Anghami wameweza wakitokea Lebanon sehemu ambayo imekuwa so much complecated katika uanzishwaji wa Startup, sababu Startup Ecosystem yake imekaa complecated as well

Ila wameweza kupenetrate soko

Sasa tuje hapa kwetu Tanzania na Africa kwa ujumla

Tumeshindwa nini kuanzisha kampuni ambayo itakuwa ni music streaming kwa Nyimbo za wasanii wa Africa?

Mfumo ambao utakuwa una wasanii katika nchi zote za Sub Sahara

Ambazo tuna our own kind of Genre

Tunashukuru Mungu Africa sasa hivi tunaweza ku access developer wazuri kupitia Andela ambao wanaweza tengeneza Mfumo mzuri wa kiteknolojia ambao Music streaming ikawezeshwa

Africa tuna Boomplay, Mdundo, Mkito etc lakini bado hazijaweza kukidhi mahitaji na kupenetrate soko

Tukianza na Boomplay ambao mpaka sasa hivi wameweza kupata uwekezaji mkubwa wa takribani $51M sawa na zaidi ya Tsh 100B bado sio favourite kwa Africans wengi

Ukizingatia kwamba Imeweza kuenea zaidi sababu ya kuwa pre-downloaded kwa simu za Tecno na Infinix ambazo zimeuzwa sana Africa

Lakini pia UX/UI ya Boomplay sio nzuri ukilinganisha UX/UI za Apple, Deezer na Pandora

Bado kwa Africa tuna ombwe kubwa ambayo inahitaji kuja kutengenezwa Mfumo ambao kwa namna moja au nyingine utasaidia ku penetrate soko

Ambapo Soko ni kwa Sub Saharan, ukiangalia tuna advantage kubwa sana ya kutengeneza our own version ya Apple, Deezer, Spotify na zingine

Naendelea na Reseach yangu ya kuanzisha Music Platfom for Africa Market inayoitwa DUNDA

Thread ya Dunda imeshawekwa humu na imezungumziwa

Idea ya Dunda ni Music and Podcast Streaming ambapo itabase kwa Africa Music kuweza kusikika worldwide

ADVANTAGE TULIYONAYO DUNDA

Kiteknolojia

Tayari tuna Andela ambapo Africa tunaweza access Developers wazuri wakaleta matokeo chanya kwa kutengeneza App kama za Apple, Spotify na Deezer

Content

Lakini pia tuna wasanii ambao wapo tayari kwa ajili ya kuweka miziki yao kwenye platforms mbalimbali ikiwemo ambayo itaanzishwa ya Africa

Fee

Kwa kuwa wasanii wengi wa Africa hawako kwenye Label kubwa zile major label ambazo ni Sony, Universal na Warner Brothers ambao huchaji hela nyingi kwa integration za miziki ya wasanii wao

Yaani ili kwenye platfom wako iwe na wasanii kama kina Nicky Minaj, Coldplay, Chris Brown itahitaji ulipe hela nyingi kwa Major label zinazowasimamia, na hii iliwakuta Deezer kipindi wanaanza

Ila ili katika platfom yako uwe na wasanii kama kina Dula Makabila, Joeboy, Tiwa Savage, Aka, Nuhu Msiwanda haitahitaji uweke hela nyingi kwenye fee na mambo mengine kama hayo

NIMEFANYA NINI MPAKA SASA?

1.Niko kwenye mazungumzo na Andela kwa ajili ya ku develop the platfom ili kuona what they can bring in reality based on my idea and imagination

2. Naendelea na branding idea na formation of exact color patern ya Logo, Icons etc

3. Naendelea kuifanyia utafiti soko kwa uangalifu huku nikiwa niko aware na Competition iliyopo Africa kutoka kwa Boomplay, Apple Music, Deezer, na Spotify kwa baadhi ya regions

4. Naendelea na kufanya utafiti mbalimbali kuhusu Music Streaming platforms mbalimbali na kuweza ku integrate na kutenegeza DUNDA iwe one of the kind kwa African Market

CHANGAMOTO

1. Kwakuwa tutabase kwa wasanii wa Africa tu tunategemea tutakuwa na idadi ndogo ya Miziki ukilinganisha na platforms zingine

Tunategemea kuwa na Miziki chini ya 10M kwenye platfom yetu ya DUNDA na podcast chini ya 1M

2. Tunaingia kwenye biashara na washindani ambao ni wana uwekezaji mkubwa kama vile Apple, Spotify, na apps zingine, ikumbukwe kwamba mpaka sasa DUNDA ina uwekezaji $0

3. Tunapitia changamoto ya uwekezaji kwani kabla ya kuingia kwenye biashara kupata early customer feedback ni lazima kwanza tuwe na mfumo kwa ajili ya watu kuweza kuitumia kwa wasanii na wasikilizaji

Tunahitaji Pre-Seed ya $900K ambazo hizi zitatumika katika budget ifuatayo

1.Ku outsource developers kutoka Andela ambao watatengeneza mfumo

2.Pilot itakuwa ni Tanzania ambapo wasanii wa Tanzania, Bongo Fleva, Singeli, Gospel wataweka nyimbo zao kwa ajili ya watanzania ku stream

DUNDA Main marketing Strategy itakuwa ni kupitia pages za wasanii wenyewe

How??

DUNDA itakuwa na kitengo cha graphics na artwork ambacho kila nyimbo ya msanii itakayotoka itakuwa designed na kitengo chetu cha artwork ambacho kitakuwa na uniformity reflecting our brand

So kila artwork itapostiwa na msanii kwenye page zake za social media ikiwa accompanied na link ya playstore au apple store

Eventually DUNDA kwa Tanzania Market itakuwa popular na kupanga mpango wa ku rise $5M as pre seed ili kuweza ku penetrate masoko ya

Nigeria
South Africa
Kenya
Uganda
Ghana

Ikiwemo ufunguaji wa ofisi nchi hizo

NawasilishaView attachment 1718415View attachment 1718416View attachment 1718456
Usikate tamaa naamini utafanikisha naamini hivyo!
 
Nina imani hiyo pia Mkuu itachelewa na itakuwa taratibu like kwenye 2025 but itakuwapo tu
Mkuu startup nyingi kwa afrika inakua ngumu kupata investors kwasababu wenye fedha wanapenda kuona kitu tayari kipo katika utendaji na ukuaji wake ni mzuri kwahiyo hapo kabla ya wewe kupata kiasi cha fedha unabidi uanze kwanza pia policy zetu bado siyo nzuri kuweza kusupport startup ila mambo yatakaa sawa mdogomdogo.
 
Siasa na porojo mingi mingi
 
Inapendeza sana Idea nzuri, hakuna kukata tamaa...

Ila kua macho sana na TCRA na Basata kwa sasa hutowaona ila ukianza kuja juu hawa hapa...
 
Unachokisema ni sahihi kiongozi, ni sahihi sana Tanzania hatuna angel investors wala venture capitalists na sio Tanzania ni Africa kwa ujumla...

Lakini Ecosystem inakua na watu kadhaa naona wanaanza kupata funds

Ni rahisi Startup ya Africa kupata funds kutoka Scandinavian kuliko US nakuelewa

Ila mlango wa China -Africa business corridor umefungua milango mengi sasa hivi China Ventures wameanza kuzitolea Startups from Africa

Sema ni kwamba Tanzania tumelala, Nigeria wameamka

Sishangai kusikia Paystack imenunuliwa $200 na Stripe

South Africa wao wameamua kukomaa na Fintech

Tanzania bado tuna changamoto bado

Ila tutafika

Ndio maana Isaya Yunge Kaya kaamua kuisajili San Fransisco hakutaka shida...

We still have that option thanks to Delaware company formation tunaweza register na kule lakini for now ngoja tuendelee ku brainstorm kwanza

Kwanini wanasajili nje ya nchi hasa marekani
 
Back
Top Bottom