racka98
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,041
- 1,530
Bongo ni kazi sana aisee. Afadhali hata SA au Nigeria huko.Jamaa anafanya mchezo sana, mbongo alipie kununua mziki?? Hell no, hiyo Netflix yenyewe unakuta analipia mmoja then wanashare watu kama kumi hiyo account tena hapo ni mwezi mzima.
Ndio mtu alipie mziki mmoja sijui wa Zuchu!!
Bongo hapa mtu wa kipato cha kati ana gari zuri tu ila bado anataka ku bargain ma machinga mwenye kibanda bidhaa ya sh 8000 anataka kuuziwa 5,000. Yaani huyu ni mtu wa kipato kinachoeleweka ila bado ni mbahili. Nadhani kwa target market ya bongo (East Africa nzima) bado sana hvi vitu subscription.
Mtu anakuta app playstore inauzwa buku 2 lakini hataki kulipa anaenda kutafta cracked version.