Le Big Show Super Mogul in bongo social Media you know.
Le Mutuz ndiyo nani tena huyo?
Jibu moja linatosha kunisaidia ktk maswali mengine asante.Le mutuz ndo the big show live. mzee wa mabibiez wa ukweli, He is above 50 lakini kichwani is below 10, swali lingine kama hujamjua?
Kumbe kanaustaa flani hivi haka kamzee?Le big show njoo ujitambulishe huku kumbe kuna wengine hawakufahamu!