Le mutuz akiwa na huzuni kali msibani

Le mutuz akiwa na huzuni kali msibani

katika watu wanaoongoza kwa kurushiwa madongo humu ndani huyu naye yupo , sijui hii ni ishara ya kuchukiwa , kupendwa , kuogopwa , kutamaniwa , au……….?
 
huyo wa pili kutoka kushoto mi hoi kabla hata sijaona huko chini kulaleki.
 
le mutuz anasema tunamuonea wivu sababu hatuwezi kujichanganya na masuper bebz wa ukwee kama yeye...
 
Back
Top Bottom