Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,136
Hivi ni kweli huyu jamaa ana umri huu..????
Anadai kuwa amekaa Ulaya miaka 15 na Marekani miaka 30.......plus umri alioenda nao?
Hivi ni kweli huyu jamaa ana umri huu..????
Ukitaka ustaajabu ya mussa mfollow kule Instagram aisee nacheka sana yaani utadhani under 20 sifa sifa dah kweli binadamu tupo tofauti!
Kwahiyo wewe wa shoka, hufanyi kazi mpaka utiwe mpini kwa nyuma? nakutania mzee sina maana hiyo unayofikiri
mbona anacheka sasa
Lohh Le Mutuz imemgusa jamani eeh:A S cry::A S cry::A S cry:
Anadai kuwa amekaa Ulaya miaka 15 na Marekani miaka 30.......plus umri alioenda nao?
Why is always with girls? nafikiri kuna tatizo kubwa la kisaikolojia japo yeye anaona ni kawaida! anahitaji msaada huyu mtuLe mutuz ndo the big show live. mzee wa mabibiez wa ukweli, He is above 50 lakini kichwani is below 10, swali lingine kama hujamjua?
Ukimfuatilia unashangaa vitu anavyopost, majibu anayoyatoa, mapicha anayopiga yaani duh! Jana kaweka picha yake na Freeman afu anawabeza watu wa CHADEMA/UKAWA kisa picha ya '92..!
Kumbe ndo asili yake, wacha tumuache alale..aisee!!Hii hapa.....kapiga kalikiti kichwani!!!!
[/TD]