Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Duuu mambo ya pro le mutuz..
Hakuna kitu inanipaga raha kama nikiona post ya le mutuzz
Duuu mambo ya pro le mutuz..
mbona anacheka sasa
Hapa mzee malechela ahesabu hasara tu! pole waziri mkuu msitaafu
analia kidijitali zaidimbona anacheka sasa
Yani wewe umenivunja mbavu mpaka sasa sina hamu nimecheka mpaka wamenishangaa
Yani haka kajaa kanalazimisha ustar
Na tumbo lake lilivyo kubwa afanye hata diet awe kama MO ndo akae na hao watoto, jamaa anatafuta umaarufu kwa shida sana ,wakati mzee alikuwa madarakani alikuwa anakula bataUkitaka ustaajabu ya mussa mfollow kule Instagram aisee nacheka sana yaani utadhani under 20 sifa sifa dah kweli binadamu tupo tofauti!
mwacheni m-baba wa watu jamani
Ukitaka ustaajabu ya mussa mfollow kule Instagram aisee nacheka sana yaani utadhani under 20 sifa sifa dah kweli binadamu tupo tofauti!