Le Mutuz ajiunga na Green Guard

Le Mutuz ajiunga na Green Guard

Nimepitia comments nimecheka mbavu zangu. Burudani tosha hii. Nadhani huu ni mwaka wake wa 54 au 55!!! Green guard haswa.

Jamaa ana 56, bado nondo nne tu aanze Kula pensheni...

Green guard mzee kama huyu ataweza kweli kutekeleza sera za Mwigulu Savimbi za kutesa na kuua watu?
 
Umejuaje ana miaka 56? Uliwahi kukiona cheti chake cha kuzaliwa? Uliwahi kuona pasi yake ya kusafiria? Uliwahi kuona kitambulisho chake chochote kile kinachoonyesha umri wake? Au unamjua nje ya hapa JF?

Mimi nimesikiasikia ni classmate wa Mizengo Pinda sasa wataalam wa hisabati huwa wanakokotoa.
 
Umejuaje ana miaka 56? Uliwahi kukiona cheti chake cha kuzaliwa? Uliwahi kuona pasi yake ya kusafiria? Uliwahi kuona kitambulisho chake chochote kile kinachoonyesha umri wake? Au unamjua nje ya hapa JF?

Kwa Le mutuz, Nyani Ngabu huwa anaweka itikadi pembeni.....
 
Last edited by a moderator:
attachment.php

Mama yake sio huyu jamani acheni unafiki !!
Hata kama mnamchukia mtu si vema kupakaza maneno ya uongo
 
Hakuna anayemchukia wala hakuna sababu ya kumchukia the "King of all bongo social media and blogs" aka "Le Mkareez wa mabeibeez", Le Mutuz nation, we hujui tu..yeye mwenyewe anakuambia biashara ya utumbo haikosi harufu pamoja na inzi wengi so kama hivi sasa watu wanavyomponda mtandaoni yeye ana make millions of money.. ha ha ha na wote wanaomponda wanabaki kuwa ni Mburulazzzzzz...
 
Ana make money jitu lina miaka 56 linalelewa na mama yake wa kambo mwenye miaka 40....
 
Hapo anacheza sebuleni kwa mama Ana Kilango?
 
Back
Top Bottom