Le Mutuz ajiunga na Green Guard

Le Mutuz ajiunga na Green Guard

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
IMG-20141020-WA0050.jpg
Dunia haiishi vituko eti huyu nae KJ kajiunga na Green Guard, kashindwa kumlea mama yake anarukia Green Guard..
 
Te...te...te....te..te... ndio shindaaaaaaaaa baba kulea watoto kwa kutegemea siasa kwani watoto nao wanajidanganya kuwa wanazijua siasa.....Lemutuz oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee . Lakini angalia utapasuka msamba.
 
kuna siku maajabu yatashangaa vijimambo vya le mushuz
 
Mleta mada le mutuz akikujua kule Faceböok, ista, tango au wasap lazima ak -block tu!!!
 
Maskini CCM imekosa kabisa vijana! Vijana wao ndio hawa sasa!
 
  • Thanks
Reactions: ERO
Hahahahaha....nimecheka sana
kuna watu watadhani picha ni ya le mutuz halisi
 
Back
Top Bottom