Le Mutuz ajiunga na Green Guard

Le Mutuz ajiunga na Green Guard

Hii thread imenichekesha Sana lol...King of all social media in Tanzania
 
Umejuaje ana miaka 56? Uliwahi kukiona cheti chake cha kuzaliwa? Uliwahi kuona pasi yake ya kusafiria? Uliwahi kuona kitambulisho chake chochote kile kinachoonyesha umri wake? Au unamjua nje ya hapa JF?

Wewe unafikiri kwanini jumuiya ya wazazi ya CCM walijichanganya kumchagua,si kutokana na umri wake Mkubwa.Yaani walifikiri anaweza kuwa na busara Kama mzazi.
 

Attachments

  • 1413919394618.jpg
    1413919394618.jpg
    36.2 KB · Views: 374
attachment.php


Mama yake sio huyu jamani acheni unafiki !!
Hata kama mnamchukia mtu si vema kupakaza maneno ya uongo

Kuna Huyu mama Ana tatizo gani asiwe mama wa Mtu flani,acha dharau pumbavu
 
Back
Top Bottom