lazima utakuwa hujalala kwenu

najua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?


Nyumbani kwangu, kwani kuna sheria inayotaka zitumike hotelini/guest houses tu? Mbona hata kwenye nyumba za watu kuna guest wing?
 
Yaani ukiingia tu chumba cha guest unakaribishwa na harufu ya hivi visabuni!! Dah! Harufu yake inachosha saana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…