Mkuu, tusaidiane maana hii ni vita: Here are some facts you can comment:
http://en.wikipedia.org/wiki/AIDS
http://en.wikipedia.org/wiki/Circumcision
http://www.medicalnewstoday.com/articles/49982.php
Moja, Hierachy ya methods za kupambana na ukimwi, inakataa hii method kutangulizwa, nadhani hata kwenye chanzo kimoja hapo juu umeiweka hii. Sasa ukiwaambia watu wasio na elimu ya kutosha kuhusu hii option nadhani utakuwa umeleta madhara kuliko kuwaepusha na janga. Just imagine publicity unayowapa na elimu itakayoingia ktk vichwa vya walengwa, itakuwa kazi kubwa kwa jinsi nionavyo kuwaleta ktk common grounds watu hususan wale wa vijijini (Busanda-type, lol)
Pili, hizi trends kuhusu sijui wanaume waliokuwa circumcised wanaepuka maambukizi by 60%, i am not buying this crap. Methodology iliyotumika hadi ku-conclude kuwa Mr. X aliepuka maambukizi kwa sababu ya circumsion, na Mr.Y ameambukizwa kwa sababu hakuwa circumcised , inakuwa based kwa ku-fix other factors, which is typically ridiculous.
I don't know how they come to that conclusion. All in all, we need to be content with all absolute conclusions if they are really valid or just the politically polished urban legends. I'm saving further comments based on #1, and secondly i don't want to go into consiracy theories etc.
CChheeeerrss..
Tahiri na fanya ngono zembe uone kama ukimwi utakuachia. Tafiti zingine zinazidi kutuondosha kwenye kiini cha tatizo. Ukweli ni kuwa tabia zetu chafu katika mambo ya mahusiano na kingono ni mbaya kupindukia.Sio kwa viongozi wala wananchi wa kawaida. Sie tumekuwa watu wa kuwaza ngono kwenda mbele kuliko hata kuleta maendeleo. Tusipokubali kupunguza hiyo kitu au kubadiri tabia hiyo chafu mwishowe wataalamu watatuambia kuwa suluhisho la kuepuka ukimwi ni kukata uume tu.
Tahiri na fanya ngono zembe uone kama ukimwi utakuachia. Tafiti zingine zinazidi kutuondosha kwenye kiini cha tatizo. Ukweli ni kuwa tabia zetu chafu katika mambo ya mahusiano na kingono ni mbaya kupindukia.Sio kwa viongozi wala wananchi wa kawaida. Sie tumekuwa watu wa kuwaza ngono kwenda mbele kuliko hata kuleta maendeleo. Tusipokubali kupunguza hiyo kitu au kubadiri tabia hiyo chafu mwishowe wataalamu watatuambia kuwa suluhisho la kuepuka ukimwi ni kukata uume tu.
TUANGALIE BIBLE INAVYOSEMA KUHUSU KUTAHIRIWA...
WARUMI 2
17[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Tazama, wewe ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea torati na kujisifia uhusiano wako na Mungu, [/FONT][/FONT]18[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria, [/FONT][/FONT]19[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani, [/FONT][/FONT]20[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa watoto wachanga, kwa kuwa una maarifa ya kweli katika hiyo sheria, [/FONT][/FONT]21[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]basi wewe, uwafundishaye wengine, mbona hujifunzi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, wewe mwenyewe waiba? [/FONT][/FONT]22[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Wewe usemaye mtu asizini, wewe mwenyewe wazini? Wewe uchukiaye miungu ya sanamu, wafanya jambo la kumchukiza katika mahekalu? [/FONT][/FONT]23[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Wewe ujivuniaye sheria, wamwaibisha Mungu kwa kuvunja sheria? [/FONT][/FONT]24[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kama ilivyoandikwa, Kwa ajili yenu ninyi, Jina la Mungu linatukanwa miongoni mwa watu Mataifa." [/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]
[/FONT]25[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kutahiriwa kuna thamani ikiwa unatii [/FONT]
[/FONT]
You have said it all!
Braza unapatikana wapi? Tuungane katika hizi harakati.
Ni PM ukiweza!
andindile,
1. Ngono ni sehemu ya maisha mkuu since time imemorial popote dunuani: it is source of life. Ngono zembe ndo huweza leta HIV!
2. Dunia ina watu 6.6 Bil. na HIV ni kama 40m ambao ni less than 1%!
3. Kama magonjwa yoyote: HIV nayo inapata ufumbuzi na vaccine itapatikana. Sema itachukua mda mrefu kiasi!
taabu hili tatizo limeshika pabaya barani Africa ambapo pia umaskini, malaria n.k pia ni shida!
Ila hiyo ya kukata uume mzee: je ni jawabu kweli?? Si kinyume na haki za binadamu??
Mkuu; Utafiti wa kisayansi unaonyesha kuwa ambao hawajatahiriwa ni rahisi sana kuambukiza/kuambukizwa ukimwi kuliko waliotahiriwa.
Jamani tuache kupotoshana kiivo acha ukweli udumu,tunao wimbo wetu maarufu na wa killa siku nao ni.KUSUBIRI,KUTUMIA KONDOM,KUWA MWAMINIFU AU KUACHA KABISA.Sasa hayta mambo mengine mio naona ni visingizio tu tuache ngono zembe jamani.
Nadhani nimesomeka..............???????
Mkuu me mwenyewe sijapata hiyo huduma,na afya yangu iko poa,cha muhimu hapa sio swala la kutokutajiriwa tatizo ni nyendo zetu.me uvumilifu ukinichinda najichimbia kunako bafu.Kuna vyanzo vingi sana vya kupata maambukizi ya vvu.But, pamoja na yote hayo bandugu, Is that Ok kwa Mwanaume katika zama hizi kutokutahiriwa? Inawezekana wapo wengi mabao hawajatahiriwa na hivyo kuongeza chances za kuupata Ukimwi?
Mkuu me mwenyewe sijapata hiyo huduma,na afya yangu iko poa,cha muhimu hapa sio swala la kutokutajiriwa tatizo ni nyendo zetu.me uvumilifu ukinichinda najichimbia kunako bafu.Kuna vyanzo vingi sana vya kupata maambukizi ya vvu.