Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

Aisee nyie wadada....mbavu zangu Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]popoma lake...hii imenimaliza
Ndio huwa siwaelewi hapo wanaume, hakuna mwanamke anaefurahia kuwa na mwanaume popoma, ndio maana mwanamke akishaona ana popoma lake inabidi ashike usukani mambo yaende alafu wanalalamika wakati wao ndio tatizo[emoji134]
 
Binti mbona kama swala kutumiwa limekukera saaaaana??


Kuna kila dalili, utakuja kuwa shahidi
Kwani kila anayetetea vilema basi na yeye ni kilema? Usikariri maisha acha tu muambiwe ukweli ili mjue kwamba siku hizi hiyo kauli ya kusema kuwa mwanamke ndo anatumika haiwaumizi hao wanawake wanaotumika maana wanafanya kwa raha zao
 
Nsimbi,

Mwanaume ni kiongozi wa familia, ukiona mke anakudharau au analeta kiburi jua kwamba umeshindwa kukaa kwenye nafasi yako kama mume, hata awe na kipato kikubwa kama bill gate bado mume ni mune tu na ana mamlaka yote ndani ya nyumba

Wanaume simameni kwenye nafasi zenu muine kama hao wanawake wataleta kiburi.

Sisi tunawaheshimu na kuwapenda sana sema kuna mijinamke visirani jamani hata haijui maana ya ndoa
 
Huyo Mama mi mwenyewe nimemnyanyulia mikono juu maana naona anajibizana na Wanaume wote wa JF eeeh...[emoji119][emoji1]
Wanaume wote wa JF? Approximately humu JF kuna members wa kiume zaidi ya laki mbili kwahiyo unataka kusemaje labda? Tatizo kuambiwa ukweli hamtaki.
 
Mwanaume yupo juu siku zote na atabaki kuwa juu.
Mwanaume amepewa nafasi ya kuwa kichwa katika familia .
Mwanamke ameagizwa utii kwa mumewe
Mwanaume ameagizwa kuishi na mwanamke kwa akili.,pia kumpenda mkewe
Tatizo huja pale wanaume wengi wanapokosa akili za kuishi na wake zao,,,hawawezi kusimama katika nafasi zao ipasavyo.

Shida huanzia kwa Mwanaume...
Mipango yote huanzia kichwani...
Kichwa huamua Nini mguu ufanye na Nini usifanye ,,Nini mkono ufanye Nini usifanye
Kama kichwa hakina maamuzi mazuri hata mwili pia utakaa vibaya

Vivyohivyo kiburi kwa mwanamke Ni matokeo ya mumewe kushindwa kusimama vema kwenye nafasi yake Kama kichwa
Wowww😍😍huyu ni wifi angu buanaa
 
Nendeni kwenye uzi unaoeleza jinsi Ke mwenzenu alivyomlisha Mtoto damu za hedhi mjione jinsi gani mlivyo kizazi cha laana hiki
Kwani hakuna wanaume wanafanya matukio ya ajabu?
Huyo ni yeye.....msigroup wanawake wote kwenye kundi la ubaya kwa sbabu ya mtu mmoja
N sawa na nyie tuwagroup kundi moja na Hali Kuna wanaume wapo wanaojitambua
 
Nasema hivi mume anayempenda mkewe ndiyo anayestahili utii na siyo vinginevyo narudia tena mume anayempenda mkewe ndiyo anayestahili utii na si vinginevyo
Hahaha mbona hujamalizia na kibwagizo pendwa kile....sijakiona aisee!
 
Afu unakuta makonkodi mengine yaliyoshindikana yanahangaika kuwadanganya Ke wenzao hapa JF kuwa yafanye ujinga kwa Wanaume kumbe wanataka tu na wenzao wabaki masela kama wao [emoji3][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] hahahahaha kmmmae wacha liendelee kupigwa mizuti ni mabaharia tu mpaka atambue uongozi
 
Nendeni kwenye uzi unaoeleza jinsi Ke mwenzenu alivyomlisha Mtoto damu za hedhi mjione jinsi gani mlivyo kizazi cha laana hiki
Duuh aise kumbe kosa likifanywa na baadhi ya wanawake basi wanawake wote tuna laana? Nilikuwa sijui basi hata wanaume wote pia mna laana maana kuna story nimeisikia baba alikuwa anawaingilia kimwili wanaye wa kike aisee basi hii dunia nzima ina laana
 
Tatizo kuheshimu na kutii mnakotaka nyie ni ile mkifanya makosa tukae kimya tusiongee chochote na mkiamua jambo basi ndo mmeamua hamtaki kukosolewa hamtaki kurekebishwa hamtaki kushauriwa wala hamtaki kuambiwa ukweli

Ndo heshima mnayoitaka hiyo si ndiyo? Halafu kwanini mwanamke ndo aanze kutii halafu mwanaume ndo afuate kupenda? Kwanini mwanaume ndo asianze kupenda halafu mwanamke akaanza kutii?

Biblia haijasema nani aanze ila kumbuka wanaume ndo mlianza kuumbwa na nyie ndo mnaotongoza sasa kama ambavyo mnataka muwe viongozi kwenye kila kitu tunaomba pia muwe viongozi hata kwenye mapenzi ninyi ndo muanze kuonyesha huo upendo halafu muone kama wake zenu hawatawaonyesha utii

Na tunaposema kupenda tunamaanisha ni pamoja na kutokusaliti wake zenu achaneni na huo utafiti uchwara kuwa eti mwanaume anaweza akamsaliti mume na bado akawa anampenda hakuna kitu ambacho kama hicho hivyo basi mwanaume anayemsaliti mkewe hatakiwi kupewa utii na mkewe sasa kwa sababu dunia ya sasa wanaume hamuwapendi wake zenu mnawasiliti basi ndo maana hata wanawake hawawatii waume zao wanawadharau
Mapenzi yapo tele ila mnafall kwa waume malaya kwa tamaa ya pesa na magari a.k.a material stuffs. Mkifuatwa na watu wa hali ya chini sio type zenu hasa sie watembea kwa miguu
 
Haha mbona wasio na hela mnawakwepa kama ukoma ikiwa wana mapenzi ya dhati?
Relief Mirzska
Nani kakwambia ndugu yangu? Speaking from my personal experience hata mimi nilikuwa naamini hivyo hadi pale nilipokuja kupata mwanaume masikini halafu ni mshenzi na huyo ndo alinitoa ukungu.

Na kunifanya nijue kuwa kumbe nilichokuwa nafikiria kilikuwa ni nadharia tu na siyo maisha halisi hapo alinifanya nibadili mtazamo na kujua kuwa kumbe kuna masikini wasio na mapenzi ya dhati na kuna matajiri wenye mapenzi ya dhati mapenzi hayana kanuni.
 
Mapenzi yapo tele ila mnafall kwa waume malaya kwa tamaa ya pesa na magari a.k.a material stuffs. Mkifuatwa na watu wa hali ya chini sio type zenu hasa sie watembea kwa miguu
Extrovert, kwangu mimi mapenzi siyo pesa bali mapenzi ni uaminifu sasa inapotokea hakuna wanaume waaminifu wote mnachepuka mnafuata ngono tu kwa wanawake mnataka sisi ndo tufuate mapenzi kwenu? Lazima na sisi tufuate kitu kingine kwa kifupi siku hizi wenye mapenzi ya kweli ni wachache na wapo wa aina zote tajiri na masikini ila ndo hivyo wachache
 
Back
Top Bottom