Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

Ngoja nikwambie, hakuna mwanamke anapenda kuwa juu ya mwanaume. Mwanamke anafeel secured anapokuwa yupo chini ya mwanaume wake, ndoto ya kila mwanamke ni kupata mwanaume anayejielewa ili amtii na kumsikiliza for the rest of her life ila inapotokea kinyume chake mwanamke anaona haina haja ngoja wote wawili tushike usukani vinginevyo chombo kitatumbukia shimoni
Wewe unasema tu but huo ndio ukweli ingekuwa hivyo ndoa nyingi zingedumu sana but fuatilia uone utagundua nachokisema utakuta mwanaume anajielewa na anaiheshimu ndoa yake but mwanamke sasa ni headache nina mifano mingi sana.
 
Kwahiyo una maana kuwa huo utandawazi mbovu umewakumba watoto wa kike tu? Si wapo na wa kiume ambao umewakumba au kwa watoto wa kiume ukiwakumba ni sawa?

Halafu unaposema eti ni lazima mwanamke ukitaka kumuoa umkuta anajua kufanya kazi za nyumbani zote unamaanisha nini? Unamaanisha kwamba hauwezi kumvumilia mwanamke ambaye hatatimiza majukumu yake si ndiyo?

Kwahiyo unataka kusema kwamba na sisi wanawake tusiolewe na wanaume ambao hawajui kutafuta pesa tusubiri wakishatafuta wakapata ndo tukaolewe nao si ndiyo? Maana hata sisi hatuwezi kuwavumilia wanaume ambao hawataweza kutimiza majukumu yao

Kwa mitazamo hii acha tu na sisi wanawake tuendelee kutafuta wanaume wenye pesa tu kwa kweli haiwezekani wanaume mshindwe kutimiza majukumu yenu kwa kisingizio cha kuwa hamna uwezo halafu mnataka wake zenu watimize majukumu yao yote tena wawasaidie na ya kwenu kabisa halafu nyie kuwasaidia ya kwao hamtaki mnaita umume bwege
Utakuja kuwa mzigo kwa mumewe au labda tyr Ni single mother
 
Utakuja kuwa mzigo kwa mumewe au labda tyr Ni single mother
Siyo kila anayetetea vilema basi na yeye ni kilema halafu tushawazoea wanaume kama wewe lazima mpinge sababu hamjazoea kuambiwa ukweli mmeshawazoea wale wanawake hata mfanye makosa kiasi gani wanakaa kimya tu

Yaani wanaume bwana wewe unataka mkeo akusaidie kutafuta pesa ila wewe hautaki kumsaidia kufanya kazi za nyumbani kwa kisingizio cha kuwa siyo jukumu lako sasa kwani na yeye kutafuta pesa ni jukumu lake? Hivi unayajua maandiko vizuri?
 
Natamani timu ya wafundaji waitwe na wazee wahenga wawachape viboko vya kutosha ndipo akili zitawakaa sawa kuwafunda mabinti wa kizazi chetu kwa kuwa wabishi kama wameahidiwa zawadi
Why is it so difficult kwa watu kukubali kujifunza? Comments nyingi za wanawake humu zimeprove kile kilichoandikwa
-Wanajifanya wajuaji hasa pale wanapokosolewa( they always have something to say against hata kwenye amna).
-Gubu lenye kiburi.
-Blames the other group 4 their stupid mistakes.
- Hawataki kukubali makosa.
-Hawajui nafasi ya mke katika ndoa, sababu hawajui ndoa ni nini na misingi yake.
-N.k

Hiìiiiiiiiiiii
 
Why is it so difficult kwa watu kukubali kujifunza? Comments nyingi za wanawake humu zimeprove kile kilichoandikwa
-Wanajifanya wajuaji hasa pale wanapokosolewa( they always have something to say against hata kwenye amna).
-Gubu lenye kiburi.
-Blames the other group 4 their stupid mistakes.
- Hawataki kukubali makosa.
-Hawajui nafasi ya mke katika ndoa, sababu hawajui ndoa ni nini na misingi yake.
-N.k

Hiìiiiiiiiiiii
Juzi nilibishana na Wanawake flani nilipowaambia huwa hawapendani wenyewe kwa wenyewe ndiyomaana huwa hawawezi kuwapisha Wanawake wajawazito, waliobeba Watoto au Wagonjwa lkn nilipingwa hadi ilinibidi niwachonganishe na Mzee mwenye umri wa miaka 52 hv akawasema mbele yangu ndipo wakakubali.

So unaweza kugundua jinsi gani tuko na Wanawake wa kizazi cha ajabu sana kwa kubisha hata ukweli halisi ili wakubali mapungufu yao na wawe tayari kujirekebisha tabia.
 
Hii umeandika as if mabadiliko haya yameathiri upande mmoja tu wa ke.
Kichwa husika cha mada ndicho kilichoniweka ktk kuelezea athari kwa Wanawake pekee lkn siku nyingine ikitokea mada husika kuhusu Wanaume utanielewa huwa sinaga ubaguzi ninapoelezea uhalisia wa hizo athari.
 
Kuna wakati niliingia anga za single mum mmoja. Mi kichwan nilitaka nimvute karibu nimvue ch.upi nitambae.

Sasa tumeenda kdogo nikamzingua kidogo.... weweeeeee hilo biti nililopigwa magu mwenyew anasubiri

....no wonder kuna wanawake KAMWE hawawez kuishi na mume ndani, never.
Siyo kila mvaa kanzu ni Muislam
 
Binti mbona kama swala kutumiwa limekukera saaaaana??


Kuna kila dalili, utakuja kuwa shahidi

Yaani mnavyoongeaga hizo kauli mnajikutaga miungu wenyewe mnadhani mnamkomoa nani sasa? Kwa Mungu mwanaume malaya na mwanamke malaya wote wana dhambi

Na kama ni kwenye jamii sidhani kama siku hizi wanawake tunajali tena jinsi tutakavyoonekana kwenye jamii yaani wanawake wa hivyo wamebaki wachache mno na ndo hao ambao wako tayari kuwa hata watumwa kwa wanaume ili tu waolewe lakini wengine tushashituka siku hizi

Ndoa anapanga Mungu na siyo binadamu na Mungu hakumleta mwanamke duniani aje ateseke wala kuwa mtumwa wa mwanaume na wala Mungu hakutaka ndoa zile za mwanamke kujifanya mjinga hata kama mumewe kakosea vipi

Dunia imeshabadilika siku hizi wanaume kubalianeni tu na hali halisi na kama mnaona kuwa hao wanawake mnawatumia endeleeni kujidanganya maana sidhani kama unaweza kusema eti unamtumia mtu ambaye anafanya kitu kwa raha zake
 
Vivyohivyo kiburi kwa mwanamke Ni matokeo ya mumewe kushindwa kusimama vema kwenye nafasi yake Kama kichwa
Nikuulize maswali machache
  • mkuu una ndoa ya miaka mingapi?
  • kunachangamoto gani za kimaisha ulishawahi kupata ukiwa katika ndoa? au nibadilishe je ushawahi kupata changamoto za uchumi kwa zaidi ya miaka miwili je mkeo alikuwaje?
  • mke ana elimu gani au umekutana naye wapi mjini au kijijini?
  • anachangiaje uchumi?
haya ni baadhi ya maswali yanayochangia kuharibu ndoa kwa kuwa wanawake wengi wa mjini (sio wote) wa mjini wanaishi maisha ya thamthilia hasa walio below 40. na wanaoongoza kwa kiburi ni wanawake wa Kikristo hasa walio na ndoa za Kikatoliki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom