Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

Sasa si bora wenye hela kuliko wasio na hela? Sisi wanawake tuna kamsemo ketu kanasema "hakuna mwanaume mwaminifu kwahiyo ni bora ulie ndani ya gari kuliko ulie juu ya baiskeli" tumeshajua kuwa siku hizi hakuna kwenye afadhali wanaume wote wahuni tu

Kwahiyo ni bora twende kwa matajiri ili hata kama tunapotezewa muda basi angalau tunaambulia kitu kuliko kwenda kwa masikini ambapo napo tunapotezewa muda lakini hatuambulii chochote najua siyo wanaume wote ni wahuni wapo ambao siyo wahuni ila ni wachache hao wachache hauwezi kusema kuwa wote ni masikini wapo matajiri kwa masikini ambao siyo wahuni
Basi nasie kazi ni moja tu. Kumwaga mbegu tu atakaejichanganya chocho la baharia itabaki story! Mjiandae kulea mkiwa kwa baba zenu waliowazaa
 
Kwani kuzalisha hovyo mmeanza leo? Hilo mbona limeshazoeleka? Ila kusema kwamba eti wanawake wakibadilika wakawa na maadili ndo na wanaume mtafuata kubadilika ni uongo wa kiwango cha standard gauge railway after all mwanaume anayezalisha hovyo na mwanamke anayezalishwa hovyo wote sawa tu yaani wote ni wapumbavu tu
 
Tutafika tu maana hamtaki kukaa kwenye lanes zenu
 
Well well well I see...kukaa kwenye lanes zetu? Zipi hizo zile za wanawake kukubali kila upuuzi unaofanywa na wanaume kwa kisingizio cha kuwa wanaume ni viongozi au? I beg your pardon.
Siku utakayokuwa mke wa mtu ndio utatambua kwamba ule ni upuuzi au ni hekima tu. Ndoa haiwezi kuendeshwa na mwanamke jeuri hata siku moja bali mwenye hekima.
 
Huo unaouita upuuzi ndio umesababisha umezaliwa ukalelewa na kukua ukiwa na wazazi wako pamoja.

Laiti maza angekuwa na akili kama hizi unazoleta hapa pengine ungekuwa hueleweki na maisha yako leo hii. Edelyn
 
Wanaume mnachekesha sana it seems mnajisahau kabisa kuwa hii dunia inaendeshwa na sheria na amri za Mungu na siyo maamuzi ya wanaume hakuna aliye juu ya sheria na amri za Mungu hata awe na jinsia za ziada fuateni maandiko ili hata hayo malalamiko yenu juu ya wanawake yawe valid mbele ya Mungu

Unaanzaje kulalamila kuwa una mke mjeuri wakati wewe mwenyewe ni muhuni? Hapa swala siyo kushindana bali kila jinsia ifuate maandiko na ikae kwenye nafasi iliyoagizwa hakuja jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi sasa shida inakuja wanaume mmeona kufuata maandiko kwenu ni mtihani mmeamua kuja na visingizo vya mila na desturi za wazee hakuna mila na desturi zilizo juu ya sheria na amri za Mungu
 
Kwahiyo hapo mnaona suluhisho ni wanaume kuendelea na maovu yenu yenu hivyo ila wanawake wakubaliane na maovu yenu? Yaani kwamba wanaume mmeshindwa kabisa kubadilika mkaona suluhisho liwe badala ya ninyi kubadilika mmeamua mtulazimishe wanawake kukubaliana na upuuzi wenu?
 
Hayo ni maswala mengine na kuendesha nyumba ni kitu ingine. Sio lazma msaafu wala sheria ila morals & ethics ndio zinaendesha familia freshi tu.
 
Mbona umeshupalia maovu. Huo ndio mfumo wa maisha regardless unapenda au haupendi
 
Kwahiyo kumsaliti na kumnyanyasa mkeo ndo morals na ethics hizo si ndiyo?
 
Huo mfumo ambao mwanaume anatakiwa awe shetani na mwanamke anatakiwa awe malaika umeanzishwa na nani na kwa misingi ipi?
 
Mbona umeshupalia maovu. Huo ndio mfumo wa maisha regardless unapenda au haupendi
Kwa mitazamo hiyo inaonyesha jinsi gani wanaume ni wabinafsi kwenye ndoa yaani hamjali kama wanawake wanafurahia mienendo yenu au la mnachojali kwenye ndoa ni furaha yenu tu basi yaani mnaona kama vile mwanamke yupo tu kwenye ndoa kukamilisha tendo na kuzaa watoto mengine yote kama furaha na upendo hastahili kuyapata kabisa na atajijua mwenyewe wow
 
Kwahiyo kumsaliti na kumnyanyasa mkeo ndo morals na ethics hizo si ndiyo?
We mbona uko negative kiasi hiko yani ukiskia neno mume wazo linalofuata ni kunyanyaswa tu. What if mtu anajaribu ku lead out upumbavu flani
 
Mwanaume yupo juu siku zote na atabaki kuwa juu.
Mwanaume amepewa nafasi ya kuwa kichwa katika familia .
Mwanamke ameagizwa utii kwa mumewe
Mwanaume ameagizwa kuishi na mwanamke kwa akili.,pia kumpenda mkewe
Tatizo huja pale wanaume wengi wanapokosa akili za kuishi na wake zao,,,hawawezi kusimama katika nafasi zao ipasavyo.

Shida huanzia kwa Mwanaume...
Mipango yote huanzia kichwani...
Kichwa huamua Nini mguu ufanye na Nini usifanye ,,Nini mkono ufanye Nini usifanye
Kama kichwa hakina maamuzi mazuri hata mwili pia utakaa vibaya

Vivyohivyo kiburi kwa mwanamke Ni matokeo ya mumewe kushindwa kusimama vema kwenye nafasi yake Kama kichwa
kwamba kiburi cha mwanamke chanzo chake ni mwanaume...??? Eheee.. dada/kaka wanawake sio maroboti wala vinyago bali ni watu wenye akili timamu kama walivyo binadamu wengine. Na kwanza kutosimamia nafasi vema ndio kukoje?
 
Kwa mitazamo hiyo inaonyesha jinsi gani wanaume ni wabinafsi kwenye ndoa yaani hamjali kama wanawake wanafurahia mienendo yenu au la mnachojali kwenye ndoa ni furaha yenu tu basi yaani mnaona kama vile mwanamke yupo tu kwenye ndoa kukamilisha tendo na kuzaa watoto mengine yote kama furaha na upendo hastahili kuyapata kabisa na atajijua mwenyewe wow
Ingekuwa ni wabinafsi wasingewaoa na kuwazalisha. Wangebaki na mbegu zao kiunoni.
 
Kwa mitazamo hiyo inaonyesha jinsi gani wanaume ni wabinafsi kwenye ndoa yaani hamjali kama wanawake wanafurahia mienendo yenu au la mnachojali kwenye ndoa ni furaha yenu tu basi yaani mnaona kama vile mwanamke yupo tu kwenye ndoa kukamilisha tendo na kuzaa watoto mengine yote kama furaha na upendo hastahili kuyapata kabisa na atajijua mwenyewe wow
Mume kujali au kutojali thats subjective ila cha muhimu ni a man that stands to lead the family. Mke lazma ufuate orders za baba ili watoto nao wawe submissive as well. Sasa mama kila unaloambiwa una question! Huwezi ku survive na mtu hata kwa mda kidogo with that kind of nagging! Binafsi ningekuchoka haraka tu hamna namna na yangefata matukio mpaka ubebe mabegi.
 
Huwezi ukaheshimiwa Kama hujakaa vema kwenye nafasi yako
Ukiona mwanamke anakudharau Rudi jitathmini wapi unakosea

Sipo hapa kwa ajili ya kutetea wanawake lakini naongea ukweli
Mwanaume aliyesimama vema katika nafasi yake hawez kumpa mwanya mwanamke wake amdharau
hebu fafanue hapo unaposema "aliyesimama vema katika nafasi yake"
 
Tatizo ni kwamba mimi na wewe hatuelewani sikia hakuna mwanamke anayetaka kushindana na mwanaume na hakuna mwanamke ambaye anapinga kila analoambiwa na mumewe sisi hapa tunaongelea pale wanaume mnapokosea kwanini mnataka tukae kimya hamtaki tuwaambie ukweli?

Ndo maana tunasema mwanaume anayefaa kupewa utii na mkewe ni yule anayemuonyesha mapenzi mke wake kumbuka siyo kila mwanaume ana sifa za kuwa mume na siyo kila mwanamke ana sifa za kuwa mke sasa shida inakuja pale ambapo na wanaume wasio na sifa za kuwa waume nao eti wanataka wanawake wenye sifa za kuwa wake hilo ndilo linalonishangaza

Back
Top Bottom