Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

Huu upendo upo kwa wanaume flani ambao wengi hamuwataki. Actually wanaume wa kusaidiana nao kujijenga kimaisha. Picha linaanza jamaa hana hela ya kufanyia anasa wala gari ya kutembelea.
Tena hakuna wanaume wanafiki na washenzi kama hao masikini maana wanakuwaga na mapenzi ya kweli kutokana na umasikini wao tu ila wakishapata ndo utaona jinsi matako yanavyolia mbwata

Kwani haujawahi kusikia kuna wanawake wanaanzia chini kabisa na waume zao hadi kuja kufanikiwa halafu wakishafanikiwa hao wanaume ndo wanaaza kuonyesha makucha yao mke anaanza kunyanyaswa na hizo pesa michepuko ndo inafaidi hayo hamyaoni mnayaona ya wanawake tu kutwa wanawake
 
Wanasema man's loyalty is tested when he has everything..unamjua rangi zake zote yaani
 
Ndo hapo sasa yaani wanaume masikini wengi wao wanakuwaga ni chui waliojivika ngozi za kondoo
Haswa
Akipata tu hela unamsahau [emoji28]
Kuna wanaume n maskini jeuri yaani
Unaweza ukajitoa mtoto wa watu,ukamvumilia,ukamsaidia kumbe mwenzio kichwa maji tu...majitu ya hivi yako mengi sana

Japo sio wote wapo hivyo

Kuna wenye pesa na Wana mapenzi ya kweli wengine wana pesa na hawana mapenz ya kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli na sasa kwa sababu wao wanatuaminisha kuwa hakuna mwanaume mwaminifu wote wanachepuka basi na wao tunataka waendelee kuamini kuwa hakuna mwanamke asiyependa pesa ya mwanaume wote tunapenda[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Huu Uzi umewapa nafasi hawa wanaojiita wanaume kutoa yale yaliyomo kwenye vungu za mioyo yao
Kuna Uzi kule una title ya Ni jina gani hutaki kulikumbuka sijui kulisikia
Ule Uzi Ni hatari
Watu wametiririka kule hatari..huu hapa Cha mtoto
 
Tena hakuna wanaume wanafiki na washenzi kama hao masikini maana wanakuwaga na mapenzi ya kweli kutokana na umasikini wao tu ila wakishapata ndo utaona jinsi matako yanavyolia mbwata

Kwani haujawahi kusikia kuna wanawake wanaanzia chini kabisa na waume zao hadi kuja kufanikiwa halafu wakishafanikiwa hao wanaume ndo wanaaza kuonyesha makucha yao mke anaanza kunyanyaswa na hizo pesa michepuko ndo inafaidi hayo hamyaoni mnayaona ya wanawake tu kutwa wanawake
Wanafiki eeh, hao wenye hela wanaowapanga foleni sio wanafiki?
 
Extrovert, kwangu mimi mapenzi siyo pesa bali mapenzi ni uaminifu sasa inapotokea hakuna wanaume waaminifu wote mnachepuka mnafuata ngono tu kwa wanawake mnataka sisi ndo tufuate mapenzi kwenu? Lazima na sisi tufuate kitu kingine kwa kifupi siku hizi wenye mapenzi ya kweli ni wachache na wapo wa aina zote tajiri na masikini ila ndo hivyo wachache
Sasa kama kwako mapenzi sio pesa date na wanaume waliopo real na wewe. Kwa uhakika zaidi maana unataka uwe mwenyewe tafta shamba boy mmoja uanze nae mahusiano wanakuwaga waaminifu sana mtafika mbali sana.

Achana na vijana wanaojua kona zote za jiji hawa mnaowapapatikia. Walamba lips kila mtaa ana kidemu.
 
Sasa si bora wenye hela kuliko wasio na hela? Sisi wanawake tuna kamsemo ketu kanasema "hakuna mwanaume mwaminifu kwahiyo ni bora ulie ndani ya gari kuliko ulie juu ya baiskeli" tumeshajua kuwa siku hizi hakuna kwenye afadhali wanaume wote wahuni tu

Kwahiyo ni bora twende kwa matajiri ili hata kama tunapotezewa muda basi angalau tunaambulia kitu kuliko kwenda kwa masikini ambapo napo tunapotezewa muda lakini hatuambulii chochote najua siyo wanaume wote ni wahuni wapo ambao siyo wahuni ila ni wachache hao wachache hauwezi kusema kuwa wote ni masikini wapo matajiri kwa masikini ambao siyo wahuni
Wanafiki eeh, hao wenye hela wanaowapanga foleni sio wanafiki?
 
Huu upendo upo kwa wanaume flani ambao wengi hamuwataki. Actually wanaume wa kusaidiana nao kujijenga kimaisha. Picha linaanza jamaa hana hela ya kufanyia anasa wala gari ya kutembelea.
Hao ndio nyoka cobra kàbisa. Mpende msaidie mjali, mtie moyo kufikia mafanikio na akishafika hakuna rangi hutaacha ona. Speaking from my expeeience
 
Ndyo kushindana kwenyewe huko
Ukweli Ni kwamba wanawake wanakuwa na viburi kwa sababu wanaume wanashindwa kusimama kwenye nafasi zao ipasavyo
Mwanamke usipoishi nae kwa akili lazima akupande kichwani...km wewe uliyepewa nafasi kuwa kichwa Cha familia hujasimama vema unadhani utii utatoka wapi?

Kuna wanaume na wanawake wachache Sana waliobaki wanaojielewa....kujielewa kwa mwanamke kwa kiasi fulani huchangiwa na namna Mwanaume wake anavyomcontrol
Kama wanawake viburi wamejaa Basi hata wanaume wasiosimamia nafasi zao vzr nao pia wamejaa
Hiyo ndiyo maana ya comment yangu
Na huu ndio ukweli
Km hujaelewa pole...nenda kasome kule juu kabisa mwanzo wa Uzi nmeelezea vzr
 
Back
Top Bottom