UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 1,164
- 3,868
Wanawake wakishajua kujumlisha na kutoa ,kuandaliwa na kukojoleshwa ni shida tayar
Huyu Kaka yangu mzuri alishaelewaUmeelewa eeh?
Wengi wameipitaWatapita kama hawaoni hii komenti
KabisaUmesema kweli mkuu ndoa si mashindano na hata ukisema unamkomoa kila mwanamke mwisho wa siku utakayeumia ni wewe
Sina mashaka naeHuyu Kaka yangu mzuri alishaelewa
Kama unampenda mkeo unaweza kumsaliti?atakuoa bila kukupenda!?
Humu jf siyo kil mwanamke amekuja kutafuta ndoa ningekuwa umri umeenda sijaolewa basi saa hizi ningekuwa nawalazimisha wanaume waendelee kuchepuka ili na mimi nipate nafasi ya kuwa na mume wa mtu ila acha tu niwatetee wanawake wenzangu kwani kila mtu anayetetea vipofu lazima na yeye awe kipofu?mungu hawezi mpangia ndoa kichwa maji kama wewe...unaonekana ulishindikana sehemu na bado inakuuma,itakua umri umeenda huna tumaini la ndoa
Hahahaha hizo kauli tumeshazizoea za kusema kuwa wanawake wenye tabia mbaya hawaolewi na wenye tabia nzuri ndo wanaolewa hiyo ilikuwa zamaniwe huoleki na hutokuja kuolewa kamwe
Kabisa mkuuNgoja nikwambie, hakuna mwanamke anapenda kuwa juu ya mwanaume. Mwanamke anafeel secured anapokuwa yupo chini ya mwanaume wake, ndoto ya kila mwanamke ni kupata mwanaume anayejielewa ili amtii na kumsikiliza for the rest of her life ila inapotokea kinyume chake mwanamke anaona haina haja ngoja wote wawili tushike usukani vinginevyo chombo kitatumbukia shimoni
[emoji3][emoji3][emoji3] nimeshajua binamu
Najua mimi [emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeelewaje kwani binamu yangu.
Najua mimi [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3] aah wapi sikuambiiNing'ate sikio embu umeelewaje huenda umeelewa tofauti.[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3] aah wapi sikuambii
Ndio huwa siwaelewi hapo wanaume, hakuna mwanamke anaefurahia kuwa na mwanaume popoma, ndio maana mwanamke akishaona ana popoma lake inabidi ashike usukani mambo yaende alafu wanalalamika wakati wao ndio tatizo[emoji134]Ngoja nikwambie, hakuna mwanamke anapenda kuwa juu ya mwanaume. Mwanamke anafeel secured anapokuwa yupo chini ya mwanaume wake, ndoto ya kila mwanamke ni kupata mwanaume anayejielewa ili amtii na kumsikiliza for the rest of her life ila inapotokea kinyume chake mwanamke anaona haina haja ngoja wote wawili tushike usukani vinginevyo chombo kitatumbukia shimoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]popoma lake...hii imenimalizaNdio huwa siwaelewi hapo wanaume, hakuna mwanamke anaefurahia kuwa na mwanaume popoma, ndio maana mwanamke akishaona ana popoma lake inabidi ashike usukani mambo yaende alafu wanalalamika wakati wao ndio tatizo[emoji134]