Lazima heshima irudi

Lazima heshima irudi

Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.

Sasa Mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa, Jumamosi hii tumepanga kuonana, nimeapa lazima nimpe 'k' yule mzee ili kijana wake ashike adabu.

Leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto ni moto.
Na baba yake akikuudhi mpe kaka yake ili uendelee kuongeza idadi ya wanamme. Kweli wewe ni malaya uliyekubuhu. Safi sana.
 
Kuumbe afadhali nimejua. Kwa hiyo ndiyo umekuja kuendeleza mapepe yako huku.
 
Bigdada , hapo haurudishi heshima, unaipoteza kabisa. Vilevile haumkomoi mtu, unajikomoa mwenyewe.
Aina ya kisasi unachotaka kukitekeleza unaweza kuja kukijutia maisha yako yote, unajua huyo jamaa nae atachukua hatua gani baada ya hilo tukio?

Kama mapenzi yamefika mwisho, endelea na mambo mengine tu, atatokea mwingine mtaendeleza maisha, usiharibu future yako bure rafiki.
Yaani we ndo umempa ushauri mzuri. Kama hataufuata shauri yake.
 
hawa wadada sometimes wana.maamuzi magumu sana na ni ngumu kumeza sijui nani yupo nyuma ya maamuzi yao anyway ukishadate na huyo kikongwe hebu njoo kwangu nami nivunje kibubu.
 
Mimi mwenyewe, kuna mtu nitamtumia picha za mama yake maana ananichezea akili.
 
Mi babake mkubwa usinisahau kwenye mgao
 
Kwa mwanamke asiyekuwa kuwa Na akili Mara nyingi zinazoumia Ni sehemu zake Za siri

Sent from mTalk
 
Kweli kama hauna akili basi sehemu zako za siri ndo zinaumia pole......lakini nenda kamshikishe heshima wakat ya kwako inashuka
 
Unaenda kumvulia nguo baba yako. Kuuona utupu uliomzaa mwanaume aliyekuvua nguo. Ulaaniwe na kizazi chako chote kuanzia cha kwanza hadi cha nne. Alaaniwaye yule auonaye utupu wa mzazi wake. Mzazi si lazima akuzae ila yeye huyu kama ungeolewa na mwanaye ni sawa na baba. Na tayari ujue mwanae alishakuoa ndani ya uzinzi wenu.
 
Mapenzi na ngono havina bingwa wala shujaa, acha mapambano ya mapenzi utaishia kuumia mwenyewe.
 
Kwangu mi poa ili mradi baba kakuta mi nilishatoka ,,May be dingi Ana kulaga tigo tu kwa vibinti,
 
ji keep busy mummy, mzee chake kimoja af utamsumbua tu.

Back
Top Bottom