Lazima heshima irudi

Hivi hiki kizazi cha sasa na cha sodoma kipi kina afadhali?
 
kibibi chako mwenyewe nani anakupangia matumizi?kigawe as much as you want!
 
Hata wanaume wanavisasi sana tu. mfano mzuri mtukufu wetu...... hivyo nae mwanamke?
 
Acha!!!!!!!!!!......... nasema tena acha!, ............tambua thamani yako ni kubwa...........
 
Hii mipumbavu michache, inakuwa inasababisha muda mwingine tuwachukulie wanawake wote "Hawana uwezo wa kufikiri sawa sawa"
 
hapana mkuu, hii ni tabia ya mtu na si jinsia ya kike, hafanyi hivyo kwasababu ni mwana mke bali kwasababu ni yeye, angekuwa wa kiume angemlenga mama mtu!, na hii isingemahanisha kuwa wanaume wote wako hivyo isipokuwa yeye ndo yuko hivyo.
 
Unajikomoa mwenyewe unajua! Baya halilipwi kwa baya.
 
Kama kweli umeamua kuumiza jamaa basi baba mpe 0713......hapo utakua umeua
 
Hii ndo akili ya wanawake sasa. Na anajiona mjanja kweli kufanya hivyo, akili imejaa matope.
 
Linapokuja suala la uchafu ktk mapenzi muhanga ni mwanamke. Fanya huo uchafu uone kama huyo jamaa ataathirika.
 
Duh Mungu awaingoze wanawake .....kuwa makini utatafunwa na ukoo mzima
Mkuu ukikuta ambayo fuse haipitishi moto mnapiga pu*bu tu hata ukoo mzima fresh tu. Mwanamke kama hayupo vizuri upstairs acha kipochi manyoya kipekuliwe na mafankuru.
 
"Simba Kula mtu ni habar.. ila mtu Kula Simba ni Habari ya kusisimua.. " Fid q,
We kuliwa na mtu na baba ake ni Habari.. Lakini Kama jamaa angekukula wewe na mama ako ni habar ya kusisimua.. "Men's we don't care.. You will just hurt yourself more...
 
Mmhh...msamehe bure. Unaweza kurudiana naye ikawa aibu kumuangalia baba mkwe wako usoni.
By the way, sasa shosti, punguza kuchuna sana, kuna post tako humu unaomba ushauri mbinu za kuchuna mabuzi. Sasa inawezekana baba mkwe kaingia 18 zako sasa mkosaji ni mpenzi wako au ni wewe?
 
Hasara ya nani, we ni changu mtoto kakupiga pumbu na baba kakupiga pumbu, ungekua wa kiume kwenye zile hadithi za kula kuku na mayai yake labda ningekuelewa
 
Na Mimi ni mdongo wake na yule kijana\ex wako, uje kwangu tumkomeshe huyu kaka maana amekuachia maumivu makali.
 
Ukisikia mipira iliyokufa ndio hii sasa, hata uwe domo zege vipi, lazima ujishindie.
Kweli kila tunda na msimu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…