Unajivua heshima yako mwenyewe yeye hana cha kupoteza, la msingi move on kwani ni yeye pekee tangu uzaliwe amaekutongoza? Naamini jibu ni hapana kama jibu ni hapana bhasi take ya luggage kaendelee na maisha mengine na mtu mwingine yawezekana akawa sahihi kuliko huyo wa awaliNimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi sasa mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa jumamosi hii tumepanga kuonana , nimeapa lazima nimpe k Yule mzee ili kijana wake ashike adabu leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto no moto
Kweli wanawake akili zenu maji, tena maji ya matopeni. Hivi nikuulize swali, huo mwili si wako? Hiyo "K" si mali yako? Sasa ukimpa baba yake hiyo "K" yako unamkomoa nani? Kwani wewe ni mwanamke wa mwisho hapa duniani na hakuna wengine? Huyo kijana aliyekuwa mpenzi wako sidhani kama atajali sana sababu atapata mwanamke mwingine wa kuishi naye na wewe pia utapata mwanaume mwingine wa kuendelea nae. Kitu kibaya tu ni kwamba utakapotuma picha za baba yake akiwa uchi, jiandae kwenda kunyea "debe"(kumbuka sheria ya makosa ya kwenye mtandao).Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi sasa mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa jumamosi hii tumepanga kuonana , nimeapa lazima nimpe k Yule mzee ili kijana wake ashike adabu leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto no moto
wewe!Naona unaendelea kutoa huduma.nakuomba zoezi lako lisiishie hapo bi dada
Kisasi cha nini? Akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia.
ikifika hapo ndipo SIWAAMINI KABISA WANAWAKE na haki SAWA ZAO, Hivi tujiulize kifikra hawa watu wapo sawa kweli alafu tuwape uongozi watuongoze?. Si mnawaona waliopo madarakani Visasi visasi visasi. Mwanamke anaweza kuazimia kumkomoa/kulipa kisasi mtu mmoja hata kama itagharimu mfumo mzima wa utumishi na elimu.
hahahaaa umeeleweka sana mtumishiIkifika zamu ya majirani kumkomesha huyo mwehu unitaarifu nisiende kazini ili tumnyooshe mchana kutwa...Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi sasa mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa jumamosi hii tumepanga kuonana , nimeapa lazima nimpe k Yule mzee ili kijana wake ashike adabu leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto no moto
Mi nafikiri hapa ungepita tu!tembea na familia nzima tu
dah,we mkali aiseee..punguza hasira mdada wangu....Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi sasa mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa jumamosi hii tumepanga kuonana , nimeapa lazima nimpe k Yule mzee ili kijana wake ashike adabu leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto no moto
nimejikuta naongea yani ,.. asante kwa kunifundisha siku nyingine napita tuMi nafikiri hapa ungepita tu!
Usikae kimya bana wala kupita.... TENA ULIMSHAURI KWAMBA ATEMBEE NA FAMILIA NZIMA NI SAWA KABISA... na wengine asagane nao tu tujue moja kwamba kakasirikanimejikuta naongea yani ,.. asante kwa kunifundisha siku nyingine napita tu
ha haha aasage tena .. haya nitakuwa naongeaUsikae kimya bana wala kupita.... TENA ULIMSHAURI KWAMBA ATEMBEE NA FAMILIA NZIMA NI SAWA KABISA... na wengine asagane nao tu tujue moja kwamba kakasirika
Kwa mfano baba wa huyo jamaa akimpiga mimbaHapo humkomoi yeye but unajikomoa wewe pole sana [HASHTAG]#Bigdada[/HASHTAG] think twice
Ikifika zamu ya majirani kumkomesha huyo mwehu unitaarifu nisiende kazini ili tumnyooshe mchana kutwa...
hii inaitwa kichaa mpe rungu kwenye jumba la vioo