I swear this country is cursed.... who is this idiot!!!! :embarassed2:
Anauza suraTunapoelekea katika kinyang'anyiro cha kupata Rais wa nchi, vigezo lazima vitumike, lakini kikubwa zaidi ni Dhamira aliyonayo kwa watu husika.
Urais ni taasisi ambayo ni lazima impate mtu shupavu wa kuiongoza anayejua vipaumbele vya watu wake, na mahitaji yao pia.
Na ni lazima aanishe vipaumbele hivyo kabla hata ya kuchukua fomu ya kugombea urais, kama ilivyo kwa LOWASSA ambaye ameshaonesha na kuweka wazi vipaumbele vyake cha kwanza kikiwa ni ELIMU na vinginevyo.
Maadili pia ni nguzo na sifa kuwa kwa kiongozi mkubwa kama Rais anatakiwa awe na hizo sifa,
Angalia hiyo picha halafu uniambia, je anafaa kuwa Rais?
Stool ni utamaduni tuSasa kama Slaa alitaka kuwa Rais wa TZ ndio asiwe LAZ?
Tatizo lake ni kuwa hata Stool kashindwa kununua
Inasemaje mkuu?Ukisoma hii diplomatic cable utaelewa kwa nini LAZ might be right....
06DARESSALAAM616: SAFE SKIES FOR AFRICA VITAL FOR TANZANIA
vipi USA walimtosa huyu jamaa?
Uliwahi kusema haya. Mpaka sasa unaamini kana kichwa kizuri au kana kichwa kopo? Kukariri vifungu vya Biblia ndo kichw?Haka kajamaa kana hela na ni ka kichwa kwelikweli lakini kuwa raisi??? Noooooooooooo
Vipi hata sasa unaweza kuandika coment kama hii?Hicho kichwa kimefanya nini kuzuia viwanda visifungwe kwa sababu ya umeme?
Hayo machimbo yake ya dhahabu ndio yanakutisha?