Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

kumbe jamaa alikuwa na Masters aisee daah! mbona siku hizi masters haina uhusiano na mmiliki (holder) inasikitisha, inahuzunisha.
 
Daah aisee hivi na ile Bandari ya BAGAMOYO vipi hatuwezi kupata dili ya kupitishia bomba la mafuta la ZANZIBAR?
 
Unajua hawa watu weupe wakijua wewe ni JUHA na wakataka kukuaminisha kuwa wewe ni mtu unaefaa sana basi WATAMSIFIA HADI MAMA YAKO ALIYEKUZAA JAPO HAWAMJUI!
 
Back
Top Bottom