Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

Tungekua na katiba nzuri, huyu jamaa angetufaa sana, msomi mzuri na anajua dunia inavyo kwenda.
 
juhudi zako katika janga la Arusha tumeziona wananchi watakulipa kwenye sanduku la kura 2020. Salimia first lady ajaye.
 


kuapishwa-4.jpg

Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?

Bahati mbaya hata jina la kirais hana
 
I didn't know that something is shaky in the one of politicians head !
====
We need 'sensible and latent thinkings' to trust some of our western diaspora!!
 
Back
Top Bottom