Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

Karibu chadema ... Huku ukiwa na pesa urais utaupata sio lazima USA watake
 
Tunapoelekea katika kinyang'anyiro cha kupata Rais wa nchi, vigezo lazima vitumike, lakini kikubwa zaidi ni Dhamira aliyonayo kwa watu husika.

Urais ni taasisi ambayo ni lazima impate mtu shupavu wa kuiongoza anayejua vipaumbele vya watu wake, na mahitaji yao pia.
Na ni lazima aanishe vipaumbele hivyo kabla hata ya kuchukua fomu ya kugombea urais, kama ilivyo kwa LOWASSA ambaye ameshaonesha na kuweka wazi vipaumbele vyake cha kwanza kikiwa ni ELIMU na vinginevyo.

Maadili pia ni nguzo na sifa kuwa kwa kiongozi mkubwa kama Rais anatakiwa awe na hizo sifa,

Angalia hiyo picha halafu uniambia, je anafaa kuwa Rais?
Anauza sura
 
Sasa kama Slaa alitaka kuwa Rais wa TZ ndio asiwe LAZ?

Tatizo lake ni kuwa hata Stool kashindwa kununua

4.JPG
Stool ni utamaduni tu
 
US ndio kila kitu,kama ni kweli basi kuhama kwake kunalenga uchaguzi ujao nafasi ya urais..lkn lowassa atakubali kumuachia???
 
Haka kajamaa kana hela na ni ka kichwa kwelikweli lakini kuwa raisi??? Noooooooooooo
Uliwahi kusema haya. Mpaka sasa unaamini kana kichwa kizuri au kana kichwa kopo? Kukariri vifungu vya Biblia ndo kichw?

Naomba nifahamu elimu ya Nyarandu na chuo alichosoma na alisoma nini?
 
Maneno kama hayo ya kutakiwa na serikali ya Amerika ilikuwa ni ishara ya ubwege alionao kichwani.
 
Hii ndo akili ya mtu tunayemwita ana maono ya kuwa rais wa Tanzania hii. Ubora duni kabisa wa wanasiasa wa nchi hii.
 
Hahahahha.. Leo unaumbuka na ndio mgombea wako huyo wa huko kwa manyumbu chadema
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom