Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

kuapishwa-4.jpg

Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?

Unapokuwa umelogwa alafu aliyekuloga kafa inamaana uwezi kuaguliwa tena.
 
kuapishwa-4.jpg

Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?
Halafu ikawaje?,
 
Matamko haya ya kutakiwa na Marekani eti yeye ndiye awe Rais yalinifanya nimshushe daraja kwani sikutgemea mtu ambaye alishapewa dhamana ya kuongoza wizara nyeti kama ya mali asili na utalii kuongea upuuzi kama ule.Hata alipohamia CHADEMA niliona ameenda hasa mahali pake kwani anafanana nao kwa staili ya matamko kama hayo.
 
Kuna watu wanaojipima uwezo wao kutokana na wale waliowaweka hapo. Hata mimi,kuna wakati nimesema kama bosi wangu ndo yuko hivi basi mimi naweza kama yeye na zaidi yake na wakati mwingine najiuliza alifikaje hapo,akili haielewi kabisa... Kama aliyeko madarakani ameweza kuwa alipo,nafikiri Mh Nyalandu haoni sababu ya yeye kutofika hapo. simple logic, kazi ni kwetu watanzania,kuamua tunataka kiongozi wa namna gani ajaye,mwenye ubora upi na aliyelelewa katika misingi ipi,namuomba Mungu atusaidie,haya tunayokutana nayo,yatufundishe na yatusaidie kutamani viongozi bora zaidi kwa gharama zote.
Hii uliandika mwaka 2012, Je umeshajifunza sasa kwanini Boss anakuwa hivyo alivyo?
 
Back
Top Bottom