Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

Huyu **** kweli Taira. Kaondoka Marekani kwa kashfa ya KUBAKA leo hii wa mu endorse awe rais wa TZ? This idiot is leaving in fantasy world he needs to come down to reality. The picture shows Two ****** Masquerading as ONE. Both of them are a joke.
 
Is this kind of a joke or what?

Pesa za machimbo yake ya dhahabu anazo

anakula dina kila kukicha na balozi wa USA

kasoma USA

Anayo green card ya USA

Anawaambia watu wa USA kuwa kura za kanda ya ziwa anazo

na pia anasema kuwa yeye sio divisive fugure ndani ya CCM

Juzi alipofungu rasmi nyumba yake mpya kaamua kuanza kampeni za maneno kwa kusudi kwa kujua kuwa aliowaambia watazitoa tuu

lakini this is tanzania ...kila mtu ana dreams you never know
 
Sasa si akawe Rais wa marekani kama anasema wanamtaka........
ila hii habari imekaa kiupupu, haina hadhi ya kuwa discussed hapa
 
Therez a woman
3.JPG
 
Sasa si akawe Rais wa marekani kama anasema wanamtaka........
ila hii habari imekaa kiupupu, haina hadhi ya kuwa discussed hapa

Sasa kama Slaa alitaka kuwa Rais wa TZ ndio asiwe LAZ?

Tatizo lake ni kuwa hata Stool kashindwa kununua

4.JPG
 
Hao USA watapiga kura? Haya na akwende USA akapige kampeni! 2015 patachimbika, hakuna wa kutupangia Rais wala hakuna wa kutuzuia kumchagua tunaemtaka, iwe Tanganyika au nje ya Tanganyika.
 
Hivi kumbe viongozi wétu washafikia kiwango hiki cha upuuzi...!? Mama yangu!
 
kwani ni mzanzibari!? ...maana nimesikia mtu mmoja mwenye 'nguvu' anasema 2015 ni zamu yao!!
 
We unaamini?
Why not?

mtu kila wiki ana kula dina na balozi wa USA

mtu anawaambia watu kuwa watu wazito kwenye serikali ya USA wanamkubali kuwa atakuwa the new breed of leader mithili ya Kagame

USA wanaangalia interests zao na LAZ anayo machimbo ya dhahabu sasa sishangai sana kuona anajipanga na ndio maan aliamua kwa kusudi ku go public usiku wa saa 7 tarehe 1 2012
 
kwani ni mzanzibari!? ...maana nimesikia mtu mmoja mwenye 'nguvu' anasema 2015 ni zamu yao!!
Kama unamzungumzia NDEVU basi ujue kuwa hao wanaompa kula ndevu ndio hao LAZ anasema washampitisha

kwa hiyo ishu ya zenji iko sorted
 
kuapishwa-4.jpg

Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?

Mie nafikiri ana 'sura nzuri' hivyo anafaa kuwa rais! Mbona mnakunja uso? Si ndivyo tulivyomchagua JK na hadi sasa anaendelea kuuza sura nje na ndani ya nchi? Au kuna jingine anafanya zaidi ya 'miss Ilala'?
 
Hatuwezi kuchaguliwa Rais na Wamarekani kama anataka urais aende akagombee marekani huko,sie hatumpi pamoja na hizo hela zake,mbona hajasaidia chochote kwenye viwanda???????????????????
 
kuapishwa-4.jpg

Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?
Yaani Serikali ya USA ina nafasi gani kikatiba mpaka iwe na mamlaka ya kumpitisha mtu kuwa rais wa nchi yetu? au ndo nitoke vipi yake? Believe me, this is another Jei Kei.
 
Back
Top Bottom