Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

Why not?

mtu kila wiki ana kula dina na balozi wa USA

mtu anawaambia watu kuwa watu wazito kwenye serikali ya USA wanamkubali kuwa atakuwa the new breed of leader mithili ya Kagame

USA wanaangalia interests zao na LAZ anayo machimbo ya dhahabu sasa sishangai sana kuona anajipanga na ndio maan aliamua kwa kusudi ku go public usiku wa saa 7 tarehe 1 2012
Wamarekani hawana interest na dhahabu za Tanzania.
Wako very interested na kilimo.. i.e ardhi ya kulima....
Hali dina kila wik na balozi, huo ni uwongo na ushamba.....
Urais na green card vinahusianaje?..... hivi green card ni uji eh? lol
 
Hizo pesa alizo nazo sidhani kama analipia kila kitu sawasawa yaani Kodi ya mapato kulingana na kazi zake,hivyo basi anatuibia hafai kuwa rais na hata hivyo siasa ameanza juzi tu kwanini hakuanza zamani asikike?
 
Uwongo mwingine ni kuwa LOWASA hataki kuwa rais

na huyu jamaa hapa chini sio fisadi

Rostam(6).jpg
 
Hizo pesa alizo nazo sidhani kama analipia kila kitu sawasawa yaani Kodi ya mapato kulingana na kazi zake,hivyo basi anatuibia hafai kuwa rais na hata hivyo siasa ameanza juzi tu kwanini hakuanza zamani asikike?

kampeni zimeanza rasmi tarehe moja

labda kaona Membe na Lowasa wamechukua sana publicity na yeye anataka ku share hiyo free publicity

cant blame him
 
HUYU NADHANI NI WAZIRI ******* KULIKO WOTE
UMESOMA DIRA YA MTANZANIA WIKI TATU ZILIZOPITA SAMAHANI KUMUITA HIVI
ALIKWENDA KIJIJNI KWAKE AKAAGIZA KILA SHULE ITOE WANAFUNZI WATANO WAKAPATIKANA WANAFUNZI 80
AKAWAAGIZA WAKUU WA WIZARA YA ELIMU KWA UKO WATOE KIBALI WANAFUNZI WANAPELEKWA KWA MMWEKEZAJI
AMBAE ANATAKA KUWALIPIA ADA MPKA WAKIFIKA CHUONI...JAMAA WAKAINGIA KING WAKAWAAMBIA WAZAZI WAO
WANAFUNZI WAO WAMEPATA MFADHILI AKA MWEKEZAJI

WALIPOFIKA ARUSHA KUMBE JAMAA KULIKUWA NA KAMKUTANO FULANI WAPENDWA KUNA WATHUNGU TOKA MAREKANI
YULE JAMAAA AKAATANGAZA ANA WATOTO ANAWASOMESHA BASI WATOTO WALIPOFIKA WAKASHUKIA SHULE YA ILBORU THEN WAKAHJA KUCHUKULIWA KUPELEKWA SEHEMU YA KULALA KESHO YAKE WAKAPELEKWA KWA WATHUNGU JAMAN JAMAN WATHUNGU HAWA JAMAA AKAWAELEKEZA HAWA NDIO IDADI NAISOMESHA KULE KIJIJINI NA KUNA WENGINE 30 WAMESHINDWA AKUFIKA AKAHAIDIWA MSAADA MWEZI WA TANO WA WANAFUNZI PAMOJA NA KULETEWA ADA ZAO..WALIPORUDISHWA WAZAZI WAKACHACHAMAA KUULIZA KIMAANDISHI KUHUSU HAO WAFADHILI UWEZI KUAMINI AFISA WA ELIMU WA UKO AKAWAAMBIA WALIENDA KUBADILISHA HALI YA HEWA HILO SWALA LA ADA ALIPO KABISA TOFAUTI NA TULIVYOAHIDIWA MAPEMA

YAAAANI NILIMWONA NI MTU ANAETAFUTA LAAANA YA DUNIAN KUPITIa watoto wa masikini nilitoa machozi kwa mara yakwanza kwenye gazeti jamani
 
kakwambia nani kuwa hawana interest na dhahabu ya watanzania? umewahi kuongea nao? wewe unafikiri ni wajinga wale wanafanya kazi kwa maslahi ya nchi yao, wewe unafikiri kila siku anapokuja hapa Bush anakuja kutembea tu? kweli wewe uko nyuma na kama umelala angalia fisi wakijua ulipo watakuja kula maana umeoza.
 
HUYU NADHANI NI WAZIRI ******* KULIKO WOTE
UMESOMA DIRA YA MTANZANIA WIKI TATU ZILIZOPITA SAMAHANI KUMUITA HIVI
ALIKWENDA KIJIJNI KWAKE AKAAGIZA KILA SHULE ITOE WANAFUNZI WATANO WAKAPATIKANA WANAFUNZI 80
AKAWAAGIZA WAKUU WA WIZARA YA ELIMU KWA UKO WATOE KIBALI WANAFUNZI WANAPELEKWA KWA MMWEKEZAJI
AMBAE ANATAKA KUWALIPIA ADA MPKA WAKIFIKA CHUONI...JAMAA WAKAINGIA KING WAKAWAAMBIA WAZAZI WAO
WANAFUNZI WAO WAMEPATA MFADHILI AKA MWEKEZAJI

WALIPOFIKA ARUSHA KUMBE JAMAA KULIKUWA NA KAMKUTANO FULANI WAPENDWA KUNA WATHUNGU TOKA MAREKANI
YULE JAMAAA AKAATANGAZA ANA WATOTO ANAWASOMESHA BASI WATOTO WALIPOFIKA WAKASHUKIA SHULE YA ILBORU THEN WAKAHJA KUCHUKULIWA KUPELEKWA SEHEMU YA KULALA KESHO YAKE WAKAPELEKWA KWA WATHUNGU JAMAN JAMAN WATHUNGU HAWA JAMAA AKAWAELEKEZA HAWA NDIO IDADI NAISOMESHA KULE KIJIJINI NA KUNA WENGINE 30 WAMESHINDWA AKUFIKA AKAHAIDIWA MSAADA MWEZI WA TANO WA WANAFUNZI PAMOJA NA KULETEWA ADA ZAO..WALIPORUDISHWA WAZAZI WAKACHACHAMAA KUULIZA KIMAANDISHI KUHUSU HAO WAFADHILI UWEZI KUAMINI AFISA WA ELIMU WA UKO AKAWAAMBIA WALIENDA KUBADILISHA HALI YA HEWA HILO SWALA LA ADA ALIPO KABISA TOFAUTI NA TULIVYOAHIDIWA MAPEMA

YAAAANI NILIMWONA NI MTU ANAETAFUTA LAAANA YA DUNIAN KUPITIa watoto wa masikini nilitoa machozi kwa mara yakwanza kwenye gazeti jamani

Hivi ni Mbopo au? ngoja nifanye home work yangu tena!.

LOL. I love JF
 
kuapishwa-4.jpg

Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?

Kwahiyo hata Kikwete ni wamarekani walitaka ndiyo awe Rais wetu????????, ndiyo maana wapo kimya japokuwa uingiaji wake madarakani unalalamikiwa na mamilioni ya Watz. Sasa naanza kupata ufahamu ni kwanini Tz inapokea vyandarua na kuruhusu uchimbaji wa Uranium kwa wamarekani?
 
Kila mmoja ana uhuru wa kusema kilichopo moyoni mwake. Kwa hiyo naye katumia uhuru wake hatuna haja ya kuumiza vichwa sana
 
HUYU NADHANI NI WAZIRI ******* KULIKO WOTE
UMESOMA DIRA YA MTANZANIA WIKI TATU ZILIZOPITA SAMAHANI KUMUITA HIVI
ALIKWENDA KIJIJNI KWAKE AKAAGIZA KILA SHULE ITOE WANAFUNZI WATANO WAKAPATIKANA WANAFUNZI 80
AKAWAAGIZA WAKUU WA WIZARA YA ELIMU KWA UKO WATOE KIBALI WANAFUNZI WANAPELEKWA KWA MMWEKEZAJI
AMBAE ANATAKA KUWALIPIA ADA MPKA WAKIFIKA CHUONI...JAMAA WAKAINGIA KING WAKAWAAMBIA WAZAZI WAO
WANAFUNZI WAO WAMEPATA MFADHILI AKA MWEKEZAJI

WALIPOFIKA ARUSHA KUMBE JAMAA KULIKUWA NA KAMKUTANO FULANI WAPENDWA KUNA WATHUNGU TOKA MAREKANI
YULE JAMAAA AKAATANGAZA ANA WATOTO ANAWASOMESHA BASI WATOTO WALIPOFIKA WAKASHUKIA SHULE YA ILBORU THEN WAKAHJA KUCHUKULIWA KUPELEKWA SEHEMU YA KULALA KESHO YAKE WAKAPELEKWA KWA WATHUNGU JAMAN JAMAN WATHUNGU HAWA JAMAA AKAWAELEKEZA HAWA NDIO IDADI NAISOMESHA KULE KIJIJINI NA KUNA WENGINE 30 WAMESHINDWA AKUFIKA AKAHAIDIWA MSAADA MWEZI WA TANO WA WANAFUNZI PAMOJA NA KULETEWA ADA ZAO..WALIPORUDISHWA WAZAZI WAKACHACHAMAA KUULIZA KIMAANDISHI KUHUSU HAO WAFADHILI UWEZI KUAMINI AFISA WA ELIMU WA UKO AKAWAAMBIA WALIENDA KUBADILISHA HALI YA HEWA HILO SWALA LA ADA ALIPO KABISA TOFAUTI NA TULIVYOAHIDIWA MAPEMA

YAAAANI NILIMWONA NI MTU ANAETAFUTA LAAANA YA DUNIAN KUPITIa watoto wa masikini nilitoa machozi kwa mara yakwanza kwenye gazeti jamani

mmmmmmmhhh
 
Hivi kazi ya Uraisi ni taaluma au ni kazi kama kazi nyingine?
 
anakula dina kila kukicha na balozi wa USA

this is tanzania ...kila mtu ana dreams you never know

aangalie tu asinogewe na kuanza kubwabwaja wakati wa hizo dinner; jamaa hawakawii kumuumbua ndani ya diplomatic cables
 
Huyu **** kweli Taira. Kaondoka Marekani kwa kashfa ya KUBAKA leo hii wa mu endorse awe rais wa TZ? This idiot is leaving in fantasy world he needs to come down to reality. The picture shows Two ****** Masquerading as ONE. Both of them are a joke.

Mh hii nayo tuhuma!
Wapi lazaro kanusha kabla haijapamba moto.:shock:
 
Back
Top Bottom