lazaro nyalandu

Lazaro Samuel Nyalandu (born 18 August 1970) is a Tanzanian politician, former member of the Chama Cha Mapinduzi and former Minister of Natural Resources and Tourism. He represented the Singida North constituency in the National Assembly since 2000. He is currently a member of CHADEMA, an opposition party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu, Taifa linakutegemea katika hili

    Awamu ya Tano ya JIWE ulifanikiwa kuongea na Maseneta wa Marekani zaidi ya 20, na ukitaka uwakutanishe na JIWE, lakini JIWE akachomoa betri. Naamini hili linaloendelea kwako ni jepesi Sana kama Mshauri wa Namba 1 katika masuala ya Diplomasia. Tunakuomba uokoe Taifa katika hili, naamini wale...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania A-Z mahojiano ya Lazaro Nyalandu na Sky News kwa Kiswahili

    Mtangazaji (Sky News): "Serikali haikuwa na wajibu [wa vifo vya waandamanaji]?" Balozi Nyalandu: "Serikali haikuwa na wajibu wa vifo vya waandamanaji. Serikali ilikwenda kulinda kila mtu. Ilikuwa siku ambayo, wakati matukio yakitokea, wanachama wa vikosi vya serikali, polisi kwa mfano..."...
  3. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais katika masuala ya Diplomasia

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais, Diplomasia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Balozi Lazaro Samuel Nyalandu ameteuliwa kuwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Balozi Lazaro Nyalandu ni kuzishawishi jumuiya za Kimataifa - USA na European Countries Kwamba Tanzania ni Shwari na Salama

    Wanabodi, Huyu Mheshimiwa ni Double Agent wa Tanzania na CIA, kwa kifupi ni CIA matukio yake yakukumbukwa Awamu ya Tano ya JPM, aliweza kuleta Ndege kubwa yenye huduma za hospital Moja kwa Moja kutoka Marekani hadi KIA na kuwachukua manusura watoto waliopata ajari ya Lucky Vicente MKOANI Arusha...
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lazaro Nyalandu: Tuwakumbushe vijana wetu, waumini wetu, kwamba hakuna tunu muhimu katika Taifa zaidi ya amani

    Jamii hasa vijana, wamekumbushwa kutambua kwamba tunu ya pekee katika taifa ni amani, upendo na mshikamano hasa katika kipindi hiki kuelekea zoezi la kupiga kura na kwamba ni jukumu la kila mmoja kulinda na kuhakikisha uwepo wa amani hiyo. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 20, 2025, na aliyewahi...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyalandu: Tunu ya tafa ni amani upendo na mshikamano

    Jamii hasa vijana, wamekumbushwa kutambua kwamba tunu ya pekee katika taifa ni amani, upendo na mshikamano hasa katika kipindi hiki kuelekea zoezi la kupiga kura na kwamba ni jukumu la kila mmoja kulinda na kuhakikisha uwepo wa amani hiyo. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 20, 2025, na aliyewahi...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lazaro Nyalandu: Tumuombee Rais Samia. Watu watoke kupiga kura bila uoga, wasiwasi na sintofahamu

    Wakuu Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Lazaro Nyarandu amewataka wananchi kujitokeza kusikiliza sera za wagombea katika nafasi mbali mbali huku akiwaomba wananchi kumuombea mgombea urais wa CCM Samia Suluhu
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyalandu: Tunachohitaji ni umoja wetu ndani ya CCM, kuhakikisha Samia anapata kura za heshima

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu, amewaomba watanzani kujitokeza kusikiliza sera za mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan ili ifikapo Octoba 29 mwaka huu waweze kumchangua kuliongoza Taifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza katika ofisi za...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyalandu: Wasiojiweza wasaidiwe kupiga Kura

    Waziri wa zamani, Lazaro Nyalandu, amewasihi viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hanang mkoani Manyara kuhakikisha mipango inafanyika ili watu wenye ulemavu na wazee waweze kufika kwenye vituo vya kupiga kura. Nyalandu ametoa kauli hiyo jana Septemba 16, 2025 katika mkutano wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lazaro Nyalandu arejea ulingoni tena, achuku fomu jimbo la Ilongero, Singida

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Ilongero mkoani Singida. Nyalandu amewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo zamani likiitwa Singida Kaskazini kwa vipindi viwili, amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 28, 2025 na Katibu wa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nyalandu: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu umekuwa na muamko mkubwa

    Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka Huu Umekuwa na Mwamko Mkubwa Akisisitiza kuwa hiyo ni Ishara ya Kuimarika kwa Demokrasia Nchini. Akizungumza katika Kituo cha Kupiga Kura Ilongero Nyalandu Amesema Amejionea Hali ya Utulivu na...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

    Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani ...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: Watanzania sasa wameunganishwa, hapa katikati tuligawanywa

    Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu). Wazee wa legacy mpo? Wengi wanamsema mungu wenu. * Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe. " Zitto...
  14. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu jibu hizi tuhuma

    PDF la Lazaro _ Part 1. Kwa kuwa Mh Lazaro umerudi CCM, na umerudi kwa kuomba Msamaha, kwa dhati kabisa ukapokelewa pale kwenye mkutano mkuu maalumu wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, na kwa maelezo yako ni kwamba umeomba radhi kwa uongozi wa CCM na ndo maana umepokelewa. Sawa, naomba hizi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu ni Mwanasiasa smart na yuko beyond vyama vya Siasa. Aendelee kusimamia anachokiamini

    Wanabodi kwa muda sasa namfuatilia Mwanasiasa Lazaro Nyalandu. Binafsi namuona kama Mwanasiasa ambaye anaamini katika Utu, Ubinadamu na haki na amesimamia anachokiamini popote alipo. Nimemuona wakati wa Lissu kupigwa Risas na pia wakati wa kifo cha Hayati Magufuli, pia nimemfuatilia wakati...
  16. omtiti

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

    Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa, anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa, matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu. Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi ======= “Nilipoenda nchi ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

    Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds. Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Lazaro Nyalandu awakilisha chama mazishi ya Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli. Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dkt. Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lazaro Nyalandu aendelea kuimalizia CCM Singida

    Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni . Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo hili ni kama ccm haina mgombea ubunge baada ya ya mgombea wake aitwaye Ramadhan Ighondu kuogopwa na...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 TRIANGLE ATTACK: Lazaro Nyalandu atikisa Singida Kaskazini, ni kama anasubiri kuapishwa tu

    Lazaro Nyalandu ni kama ameiua CCM Mkoa mzima wa Singida maana hata wakati Lissu akiwa nje ya nchi kwa matibabu, Mh Nyalandu aliendelea kuifyeka CCM bila huruma. Mpinzani wake wa CCM anaitwa Ramadhan Ighondu, mtu anayetajwa bila kukanusha kuhusika na kumteka na kumtesa kinyama kiongozi wa chama...
Back
Top Bottom