Lazaro Mambosasa aondolewe Dar es Salaam

Siku za nyuma kuna walioukwaa upolisi kutokana na kimo chao tu hata kama hawajui chochote .
Na wengi ndio hao wapo nafasi za juu, mpaka kizazi hiki kipite labda ndio tunaweza kuwa na jeshi zuri la polisi
 
Mkuu ukitaka kumwua nyoka piga kichwani sio mkiani? RPC na IGP wote ni mikia tu. Labda ushauri waache kazi japo hawa kujiuzuru ni sawa na machweo ya jua kuwa magharibi.
 
Kwa tuliopewa elimu kdgo yautambuz wa tabia za watu kupitia sura zao wanapozungumza..ukimuangalia siro usoni anapozungumza u see the kindness in him pamoja na sura ake ngumu,,..anaonekana ana huruma na utu ndani yake except kuna vitu sometimes inaoneka analazmika tu kusema au kufanya for his position,,..but kwa mambosasa mmmmmh!!..
 
Hakuna igp wa dsm labda rpc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnasubiri nini kumng'oa huyu jamaa ?
 
WENZIO WAMEPANDISHWA VYEO , wewe UNASEMA WANAJISIKIAJE ?
Just look at yuh!
Yaani wewe Erythrocyte ni boksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…