Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,683
- 272,540
- Thread starter
- #101
Ohoooo !!!Kumbe ukicheza sinema, huwezi kuja kuwa muimba kwaya. Lazima utarudi kwenye roots

Huu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
View attachment 1038340
Tangu lini Mahera aliwakilisha wananchi ?Unaandika kiupinzani gani.. mihemuko ya hasira kukujaaa.. lalamikia wananchi ambao ndio wameamua..
Ati IGP wa Dar.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tulia acha kubebwa mazima na viongozi wenu.. waropokajiiii.. na wannachi wamewasomesha nambaaa..
Pokea salamu 💛💚💛💚💛
Yuko wapi sara kuku?Angalia tarehe ambayo tuliandika hii , kiongozi bwege na duni huonekana mapema tu , tangu lini magaidi wakapewa dhamana ?
Igp wa Dsm? Chadema mna vituko sana.Huu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
View attachment 1038340
Hivi alipataje hicho cheo huyu ?Leo kwa Askofu Mwamankula kasema ni kosa kisheria kudai katiba mpya
kuna mengine wala hata hatumwi na mtu huyu mzeeHuyo ni loudspeaker Kama zingine, lawama ziende kwa MC.
Sio rahisi bila maagizokuna mengine wala hata hatumwi na mtu huyu mzee
🤣🤣🤣Huu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
View attachment 1038340
Bashite alimshutumu wakati fulani kabla hajapandishwa cheoHuyu na Bashite, ndiyo chanzo cha maovu mengi
AmekusikiaIGP si kila maoni ya wapinzani hayafai ? sitakushauri tena
Hivi inakuwaje mtu mwenye zaidi ya miaka 70 anaendelea kuajiriwa ?Bado Muroto tuu astaafishwe kwa maslahi ya umma