Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,040
- 285,605
- Thread starter
- #121
Hakika Mungu anajibu maombi , damu ya Akwilina itawamaliza wahusika wote
Mbona ameondolewaHAONDOLEWI UNATAKAJE SASA?
😆😆😆😆Mbona ameondolewa
Mungu ibariki JFHizi kazi wakati mwingine msala humpata aliyetenda , Kamuhanda mbona aling'olewa ?
Watatajana wenyeweSio mambo sasa swali la kujiuliza nani anayewapa oda