Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,624
- 272,391
- Thread starter
- #21
Na hatukubali kweli , wenzako wamekusanyika lumumba wakiomboleza .mlisema uchaguzi huu hamtakubali kuibiwa kura, imekuwaje tena?

Hata kama atapandishwa cheo lakini sisi wananchi tumesema tumetoa maoni yetu kuwa Kamanda Mambosasa hafai na awajibike kwa kujiudhuru ama aondolewe katika nafasi hiyo. Haiwezekani uhai wa Mtanzania umekatishwa kwa amri yake (maafisa wake) halafu anasema hawezi kufuatilia kwa sababu kuna Uchaguzi. Kwake Mambosasa Uchaguzi ni muhimu kuliko uhai wa mtu, tena kijana mdogo, msomi, mwenye maisha (future) tele mbele yake. Binti ambaye ana wazazi, ndugu na jamaa, Binti ambaye angekuja kwa mtaalamu wetu, na ambaye angetuzalia watoto wa kuendeleza Tanzania; halafu Mambosasa anayelipwa mshahara na posho na marupurupu hata magwanda anayovaa kwa kodi zetu; leo anasema eti anashughulikia kwanza Uchaguzi (anaangalia na kusimamia kwanza Ccm washinde) ndiyo baadaye afuatilie kifo cha marehemu Binti Yetu aliyetolewa uhai wake kwa uzembe wa Mambo sasa !!! Hakika tupaze sauti hadi Mambasasa awajibishwe. Hii nchi ni yetu sote siyo ya watawala uchwara.Wewe unasema aondolewe ukamanda wa Jijini Dar??
Usije shangaa akaukwaa u-IGP!
Umesahau yaliyotokea kule Arumeru?
Ambako mkuu wa wilaya ile Alexander Mnyeti alipandishwa cheo na kuwa RC wa Manyara, licha ya clip za kina Nassari zilizomuonyesha mkuu huyo wa wilaya "akiwahonga" madiwani wa Chadema?
AsulubiweHuu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
Mkuu nchi hii ina historia ya kuwapandisha vyeo watu wa aina hiyo na mifano iko mingi hasa katika utawala huu wa awamu tano. Pili humu humu jamvini kuna watanzania unaweza kuwatafakari pengine ndo hao walio, wameagiza hayo mauaji au wananufaika hizo damu za watanzania. Hii ni kutokana na wanavyotoa maoni yao kuhusu utesaji, utekaji na mauaji yanayotokea nchini bila kujali yamefanywa na nani.Ndio maana nimemshauri IGP amuondoe kabla ya kuleta hasara kubwa zaidi .
Kwasababu kwako damu ya mtu aliyehaki kumwagika ni halali kwako na mungu akuongozeJARIBU UONE AWAMU HII HATUTAKI UJINGA UJINGA
Magufuri atampandisha cheo awe DGP ( awe makamu wa sirro, nasikia Ngosha kafurahishwa sana sana na Kazi ya afande mambo Leo''Huu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
Mtaishia jela wote,,ipo siku na mwaka, jinai huwa haina expire dateJARIBU UONE AWAMU HII HATUTAKI UJINGA UJINGA
Mkuu afande MAMBO leo hawezi kuondolewa,, tena kama ataendelea na Kazi kama aliyoifanya jana,, hakyamungu niamini mimi afande mambo sasa anaweza akachukua nafasi ya afande siiro,, mkulu wetu ndio anawapenda watu kama hao,Ndio maana nimemshauri IGP amuondoe kabla ya kuleta hasara kubwa zaidi .
Huu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
UKIMJUA UNAFANYAJE? HAPO ULIPO TUU HUJULIKANI UNATUMIA ID FAKE BOYA KABISA