Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 544
- 396
Hakuna tahadhari wakati huu, au ndo mpaka aje shoga yako wa kuchakazwa?karibu tena kijana

kuwa makini na lugha chafu , utaumiaHakuna tahadhari wakati huu, au ndo mpaka aje shoga yako wa kuchakazwa?
kuwa makini na lugha chafu , utaumia
Huku ulikimbia, kweli we boksiNadhani ulimtahadharisha eight o'clock pia Ndg mtahadharishaji, na tahadhari ilimsaidia
Sirro akimuacha huyu atatoka yeyeWewe unasema aondolewe ukamanda wa Jijini Dar??
Usije shangaa akaukwaa u-IGP!
Umesahau yaliyotokea kule Arumeru?
Ambako mkuu wa wilaya ile Alexander Mnyeti alipandishwa cheo na kuwa RC wa Manyara, licha ya clip za kina Nassari zilizomuonyesha mkuu huyo wa wilaya "akiwahonga" madiwani wa Chadema!
Hii ndiyo staili mpya ya Utendaji kazi ya wateule wa Rais, mfurahishe Bosi upande cheo!
Uyo hawezi kutolewa maana ndo alieandika script ya movie ya Mo akishirikiana na bashiteKumbe IGP hana uwezo wa kuhamisha baadhi ya ma RPC , imedhihirika kwa Mambosasa
NimeaminiUyo hawezi kutolewa maana ndo alieandika script ya movie ya Mo akishirikiana na bashite
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekiuka GPO kwa sababu za kisiasa ni wakutimuliwa outright.Huu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
View attachment 1038340
Niliweka angalizo mapema sana .Amekiuka GPO kwa sababu za kisiasa ni wakutimuliwa outright.
yes si kila polisi anawez kuwa kamanda wa darHuu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
View attachment 1038340
Taarifa zinaonyesha kwamba Mambosasa ndio RPC duni kabisa kuwahi kuhudumia DSM , hata polisi wadogo wanamshangaa na taarifa zinadokeza kwamba wanamdharau vibaya sana !yes si kila polisi anawez kuwa kamanda wa dar
Mnapochangia muwe mnaangalia hata tarehe ya uzi husika basimkuu hiyo taarifa yako unahisi itakuooza machungu uliyonayo??? 😂😂😂 pole sana mkuu
Kawapiga vice vizuri hadi mnaomba po! Khe khe khe khe eeeeeeeeHuu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
View attachment 1038340
Angalia tarehe ambayo tuliandika hii , kiongozi bwege na duni huonekana mapema tu , tangu lini magaidi wakapewa dhamana ?Kawapiga vice vizuri hadi mnaomba po! Khe khe khe khe eeeeeeee