Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
JARIBU UONE AWAMU HII HATUTAKI UJINGA UJINGA
Wewe akili yako inakutosha kwendea haja ndogo
JARIBU UONE AWAMU HII HATUTAKI UJINGA UJINGA
Tungekuwa na msimamo thabiti tungeenda kumtoa makonda pale officine akikataa tunamwathibu
UKIMJUA UNAFANYAJE? HAPO ULIPO TUU HUJULIKANI UNATUMIA ID FAKE BOYA KABISA
Kwani Mambo now ndiye alimuua huyo marehemu?Huu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya mwandishi wa Channel 10 marehemu Mwangosi , Na kwa kutumia busara ya hali ya juu IGP wa wakati ule bila ya kuchelewa alimng'oa Kamuhanda na kumpeleka Makao Makuu.
Kila mwenye macho amejionea mwenyewe kauli ya jeshi la polisi kukiri kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa NIT , haya ni miongoni mwa mauaji ya kishamba sana kuwahi kufanywa na jeshi la polisi , yaliojaa uzembe wa kiwango kisichopimika , ni mauaji ambayo hata jambazi bwege hawezi kuyafanya .
Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.
Angalizo - Si kila polisi anaweza kuwa IGP wa DSM .
Nakubaliana na wewe. Jamaa anaweza akaruka cheo cha DCP na kuwa CP moja kwa moja. Utendaji wake ni lazima utakuwa unaendana na kasi ya bwana yuleUyo muda si mrefu anapandishwa kua Kamishna kumbuka Mkuu aa Kanda Maalum mara nyingi anakuaga Kamishna....so hapo uyo SACP Mambosasa anasubiria kupandishwa kua CP
Karibu tena mkuu , Adui yako DR SLAA kaula , wewe ndala bado zinakukatikia njiani .Nakubaliana na wewe. Jamaa anaweza akaruka cheo cha DCP na kuwa CP moja kwa moja. Utendaji wake ni lazima utakuwa unaendana na kasi ya bwana yule
Mkuu Lazaro pole sana , lakini ushauri tumempa SirroUshauri wa kipuuzi huu.
Siku za nyuma kuna walioukwaa upolisi kutokana na kimo chao tu hata kama hawajui chochote .Hivi Mambosasa ana elimu gani? Au ile ya hapa na pale?
Mkuu uko wapi ?Boya ni mamako aliyekupata kupitia mbio za mwenge
Eeee bhana eeee !!!HAONDOLEWI UNATAKAJE SASA?
" waliomteka MO ni wazungu wawili " - MambosasaNaunga mkono hoja kwa asilimia 100
Huyu Kamanda Mambosasa ahamishwe Dar kabla hajaleta maafa makubwa jijini hapa
Inawezekanaje aone kifo cha mwanafunzi Akwilina, kama kifo cha sisimizi??
Yeye tulimnukuu akikiri wazi siku ile ya tarehe 17/2/2018 kuwa mmoja wa askari wake ndiye aliyehusika na mauaji ya yule mwanafunzi Akwilina, ambaye wala hakuwa mwandamaji, Bali alikuwa kwenye daladala!
Sasa inashangaza kusikia ememwachia huru yule Muuaji wa Akwilina, kwa kile alichodai kuwa hana ushahidi wa kutosha wa kumuanganisha Muuaji huyo l katika tukio lile la kuuawa Akwilina!
Wewe kijana nimetambua kwamba umekuwa msaada sana kwa nchi , Mungu akulinde .Ndio maana nimemshauri IGP amuondoe kabla ya kuleta hasara kubwa zaidi .
Mkuu IGP amekusikia kuna watu hasa Lumumba walikubeza sana na matusi juu.Ni wakati sasa wa IGP kumpeleka Mambosasa Makao Makuu ili kurudisha amani jijini DSM , ambayo imetoweka moja kwa moja tangu kuingia kwa Mambosasa.