Lawrence Mafuru, NBC's MD cleared of charges, recalled | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawrence Mafuru, NBC's MD cleared of charges, recalled

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by Popcorn, Oct 8, 2012.

 1. P

  Popcorn New Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lawrence Mafuru - MD wa NBC Bank amerudi kuendelea na wadhifa wake baada ya kutokutwa na hatia yoyote kutokana na tuhuma alizopewa. Jamani hivi tutaendelea kweli kama watu watakuwa wanaendeleza chuki, fitina na majungu?

   
 2. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  I knew it the guy he is good kwakweli na nahisi ilikuwa ni zengwe tu watu walimfanyia

  Mungu amjalie yeye na familia yake na vitoto vyake vile...
   
 3. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  waliomfanyia fitina sasa wajiandae maana kisasi chake lazima watu waondoke!!
  anyways always ukweli hujitenga na uongo..go on mafuru
   
 4. s

  sanjo JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kisasi hakijengi bali hutengeneza mduara wa matatizo. Acha Mafuru achape kazi kwa kutekeleza mkakati kazi aliouanzisha. Kama mameneja hawakubaliani na mkakati huo basi watafute mahali pengine ili waendeleze majungu yao.
   
 5. P

  Popcorn New Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli he is really good and very hard working. Kinachonisikitisha ni ile kumkashifu na kumchafua sana katika familia yake na jamii kwa ujumla. Watu wengi walijitokeza kuonyesha kufurahishwa na kuchafuliwa kwake lakini wanaonekana kutokufurahishwa na kurudi katika wadhifa wake baada ya kusafishwa zile tuhuma hewa alizoundiwa.

  Sasa naamini atajua maadui zake ni wengi na wengi hawapendi afanikiwe.

  Kilichobakia ni kupiga mzigo na mengineyo ni historia.

  Hongera Kaka Mafuru... Kwenye ukweli, uongo hujitenga..
   
 6. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Dissapora is back in the office
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Huu ni wakati wa yeye kujiangalia alijikwaa wapi mpaka akasimamishwa,kama alitengenezewa zengwe basi ajue kuwa katika sehemu yoyote ya kazi unatakiwa uwe makini na si kujisahau na kudhani kila mtu ni rafiki.

  Ni heri kwa anayechafuka na kusafishwa maana bila ya majaribu binadamu bado anakuwa hajakamilika hivyo chukulia lililokupata kama changamoto na mshukuru Mungu kwa kukupa nafasi nyingine,jiulize ulimfanyia nini mpaka ukapona katika hili?

  Wapo wengi ambao wanasingiziwa na hukutwa na hatia.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Anarudi funika bovu tu........mwisho Desemba anaondoka rasmi
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Nilisikitika sana nilivyosikia hivyo. Mbaya zaidi familia yake kila nikikumbuka zile picha za watoto wake pale ofisini kwake nahisi kama ni mimi aisee

  Board of Directors bwana. Ndio maama sisi wachaga makampuni yetu tunaendesha kifamilia No stress
   
 10. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Watu wabaya.POLE SANA KAKA MAFURU,ila lazima watakufanyia zengwe lingine
   
 11. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Yaliandikwa mengi kuhusu Mafuru humu ndani.. Wengi walijifanya kumfahamu yeye na udhaifu wake.. Wengine walidiriki hata kuishambulia familia yake.

  Nafurahi sana kwamba amesafishwa na yale yote yaliondikwa humu yameonyesha ni chuki dhidi yake.. Inawezekana wengine wali-comment humu kufuata mkumbo.. Au kujionyesha kwamba wao wanamjua au wanajua maovu yake.. Hii nadhani itawafundisha umuhimu wa kukaa kimya kwa yale yote msiyoyajua.. Hili ni Jukwaa kubwa la majadiliano.. Ni vizuri mkawa na uhakika na yale yote mnayoya-post na kuko-comment humu.. Majungu na umbea yanafaa kupelekwa kwenye mitandao ambayo iko friendly na majungu & umbea..

  Ninapenda sana kumpongeza Mafuru kwa kuondolewa shaka na kurudi oficini.. Nampenda kumpa ushauri awasamehe na kuwatendea wema wale wote ambao kwa njia moja ama nyingine walishiriki kumtengenezea jungu pale.. Kwani adha watakayoipata kwa wao kushindwa jaribio lao ndani ya mioyo yao ni adhabu tosha.. Ila tu namshauri awe makini.. Aangalie nyuma mara kwa mara.. Back stabbers..
   
 12. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  ALLEGATIONS of bad management, corruption and theft made against the National Bank of Commerce (NBC) Managing Director, Mr Lawrence Mafuru, have been cleared and the suspect has resumed duties.

  In a statement, the NBC Board of Directors Chairman, Mr Mussa Juma, said that Mr Mafuru, who was forced to go on a two-month leave last July to pave way for investigations, has been allowed back on duty with immediate effect. Mr Mafuru is one of the youngest locals to manage one of the largest banks in the country.

  Dr Juma said: "I am pleased to say that the board has resolved appropriately all the matters arising out of the investigation and that Mr Mafuru will be returning to work immediately." He further noted that it was necessary to suspend Mr Mafuru pending the investigations in order to maintain high governance standards among its shareholders and the general population.

  "It was a necessary process for all the stakeholders in our business, be they customers, employees, shareholders, regulators and the public at large, that a thorough investigation take place to ensure that our executive management is, indeed, running the bank in accordance with the best corporate governance processes," Dr Juma said in a brief statement.

  A whistle blower report raised issues around irregular governance practices, fraud and corruption against the NBC executive management team which forced the board to order an investigation.

  The board chair said a thorough investigation has been conducted to establish the authenticity of the allegations which however have proven to be untrue. On July 19, this year, the bank's Board of Directors announced that Mr Mafuru was requested to go on leave in order to allow investigations into irregularities allegedly perpetrated at one of the country's largest commercial banks.


  ---
  news source: Tanzania's The DailyNews

  PREVIOUSLY: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/295286-mkurugenzi-mtendaji-wa-nbc-lawrence-mafuru-asimamishwa-kazi.html
   
 13. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kama umeandikiwa ndiyo ni ndiyo tu haiwezi kua vingne
   
 14. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Two months of investigation?All that time,he was on administrative leave? I like it, stay home n get paid. This government is DHAIFU.
   
 15. h

  herimimi Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fanya kazi kijana. usiogope majungu.
   
 16. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hongera sana Mafuru.

  Looh! Tunaangamiza vilivyo vyetu Kwa majungu huku wageni tunawaachia watutafune kimya kimya.

  Ukiweza wakabidhi hiyo bank yao salama na tafuta kazi nyingine. Wasije wakakutafutia zengwe lingine.

  Mtu mwenye uwezo una uwezo tu na fursa nyingi zitafunguka.

  Pole sana Mkuu Kwa mkasa uliokupata.
   
 17. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,374
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Kuna member aitwaye KANYAMAna aliandika humu comment yake baada ya jamaa kupewa likizo ya lazima kuwa anamjua na atarudi! SALUTE KWAKO KANYAMAna.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. T

  Tyad of fake Politcs Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks kwa taharifa Great Thinkers(JF), Personally simjui Lawrence Mafuru na mara ya kwanza kumsikia ni pale alpokuwa MD wa NBC, na kwa kipind kifup CHA KUONA PRSENTATION ZAKE,APPOACH NA SRATEGIES, pia jinsi Market inavyomzungumzia nikashawishika kuona kwamba ni potential.since then namkubali sana...Big up Bro Mafuru hiyo ni mitihan,Back to business n attack nobody..just do your work as MD.
  Wadau wa JF naomba mnisaidie CV Yake full from shule mpaka institution alzofanyia kaz before NBC....Msaada tutani kwa yeyote mwenye nazo.

  Kamwe maji na mafuta hayachanganyikan.........God bless us all
   
 19. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kwenye ile post ya kusimamishwa kwa Mafuru hawa walishadadia sana kwa sasa naona watakuwa wanaona aibu kina zomba, Kidogochetu na kina BONGOLALA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. wlfwilley

  wlfwilley Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 22, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  duh, hii kali ila ndio nchi yetu ilivyo tuzoee tu!!
   
Loading...