Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 313
Kwa hili nakubaliana nawe! Time will tell ngoja tusubiri tu! Kwa wanaokumbuka story ya BADE aliyeteuliwa kukaa pale TRA juzi juzi wanafahamu michezo ya Barclays. Hapa nadhani wametaka ku-manage reputational risks kwa NBC ambayo ni subsidiary ya barclays, haikuwa timing nzuri kumfukuza huyu bwana hasa ukizingatia scandal ya Bob Diamond London.
Banking industry ni very sensitive hata kwa speculation tu. Huwezi kumwachisha kazi MD hivi hivi tu halafu ukategemea benki haita-shake. Huenda ni kweli amekutwa hana hatia hivyo anaendelea na kazi zake. Au pia kakutwa na hatia ila wamemrudisha huku tayari wakiwa na exit plan yake ambayo iko mutually agreeed sometimes na kwa baada ya muda fulani ataondoka mwenyewe kwa heshima au kupangiwa kazi nyingine na nyie wateja mtakuwa mnajua kuwa ni kitu cha kawaida tuu kimefanyika na hakuna haja ya wasiwasi. BTW, did you know suspension ya Mafuru ilivyowapanikisha wateja wa NBC?