Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,782
Source: Mwananchi la leo
lawrence mafuru - md wa nbc bank amerudi kuendelea na wadhifa wake baada ya kutokutwa na hatia yoyote kutokana na tuhuma alizopewa. Jamani hivi tutaendelea kweli kama watu watakuwa wanaendeleza chuki, fitina na majungu?
Two months of investigation?All that time,he was on administrative leave? I like it, stay home n get paid. This government is DHAIFU.
Hata wewe unaweza kujaribu utapewa two months paid leave then utarudishwa kazini. Jamaa nyota yake inang'aa Hata Kama hutaki...
Lawrence Mafuru - MD wa NBC Bank amerudi kuendelea na wadhifa wake baada ya kutokutwa na hatia yoyote kutokana na tuhuma alizopewa. Jamani hivi tutaendelea kweli kama watu watakuwa wanaendeleza chuki, fitina na majungu?
Nilisikitika sana nilivyosikia hivyo. Mbaya zaidi familia yake kila nikikumbuka zile picha za watoto wake pale ofisini kwake nahisi kama ni mimi aisee
Board of Directors bwana. Ndio maama sisi wachaga makampuni yetu tunaendesha kifamilia No stress
Huo mfukuzano utakaotembea huku NBC ni zaidi ya ule wa Mbatia na Kafulila kama sio ule wa CDM na baazi ya madiwani wa Arushawaliomfanyia fitina sasa wajiandae maana kisasi chake lazima watu waondoke!!
anyways always ukweli hujitenga na uongo..go on mafuru
ROHO mbaya yako tu na ujue hizo ni dua za kuku hazimpati mwewe.uliona wapi jogoo anakufa kwa utitiri???Anarudi funika bovu tu........mwisho Desemba anaondoka rasmi
Huo mfukuzano utakaotembea huku NBC ni zaidi ya ule wa Mbatia na Kafulila kama sio ule wa CDM na baazi ya madiwani wa Arusha
Tuombe iwe hivyo..InshallahMkuu Mafuru's very smart guy.. Haitaji kumfukuza yeyote pale NBC.. Wataondoka wenyewe na aibu zao.. Walishirikiana na baadhi ya wazungu kumtengenezea majungu Mafuru.. mwisho wa ciku imekula kwao..
Hili Linchi hili sijui lin litakombolewa haswa. Huyu Jama watu wote wanajua kaiba kweli lakini ushahidi ati hakuna na anarudishwa kazini halafu anapongezwa na watu kwa kushinda kesi wakijua wazi hakuna haki Mahakama zetu, fedha itanunua hukumu.
- Mwaka 2015 hakuna Ukombozi, bila shaka CCM itarudi mwaka 2015 naanza kuamini hivyo..