Laurence Masha ajitoa kugombea Urais TLS, amuunga mkono Tundu Lissu

Kama nilivyowahi kufikiria huko Nyuma kwamba Masha aliingia kama Options ya Lissu, kwamba ikitokea Lissu akafanyiwa Figisu basi yeye aweze Kuchaguliwa, Leo yametimia, Hatimae Masha amejiengua na kuwaomba team yake yote wampigie Kura TLS "Tundu Lissu Sasa".... Kama nawaona nawaona....
 
wow!

jamani jamani jamani.... mhurumieni Mwakyembe! mbona mpo hivo lakini??
Keshalimwa na majaji, Rais na kesho TLS wanampa kitu chenye ncha kali.
Alishazidi na mambo yake yasiyoeleweka.
Baada ya kulimwa na Rais hadharani nadhani kaenda kulilia chooni.
 
Kwani Urais wa SACCOSS ya TLS nao ni dili? Waroho wa madaraka hapo ndiyo mmefika. Hatushangai hadi Udiwani, huwa Viongozi wa kitaifa huenda kuweka nguvu na matokeo take mnapigwa. Sasa yako ka TLS mbona ndiyo mmepata?

Ingekuwa Saccos mkata umeme na huyo Kyembesamaki wangehangaika namna hii wiki tatu sasa? Usituletee maneno ya shombo hapa baada ya watu kukomaa na kuwatoa knock out kwa aibu.
Kila kitu mnaleta ushamba shamba wenu, hata JK huko aliko anashangaa amewaachia uongozi watu wa aina gani wasio na aibu?
 
Back
Top Bottom