kwa atageuka kuwa jaji?Chama chenyewe soon kitageuka cha kufa na kuzikana tuWacha LISSU ashinde atunyoshee nchi angalau upande wa sheria tuheshimiane kiasi.....
kwa atageuka kuwa jaji?Chama chenyewe soon kitageuka cha kufa na kuzikana tuWacha LISSU ashinde atunyoshee nchi angalau upande wa sheria tuheshimiane kiasi.....
Tuombe tu iwe hivyo maana kura zina mambo mengiNadhani Lissu atashinda kwa zaidi ya asilimia 90 na sababu kubwa ikiwa ni kiki aliyopewa na serikali ya Magufuli.
Kwani Urais wa SACCOSS ya TLS nao ni dili? Waroho wa madaraka hapo ndiyo mmefika. Hatushangai hadi Udiwani, huwa Viongozi wa kitaifa huenda kuweka nguvu na matokeo take mnapigwa. Sasa yako ka TLS mbona ndiyo mmepata?
Kweli kabisa.Nadhani Lissu atashinda kwa zaidi ya asilimia 90 na sababu kubwa ikiwa ni kiki aliyopewa na serikali ya Magufuli.
SILAHA YAO YA MWISHO NADHANI ITAKUWA WAMEPANGA HUJUMA SIKU YA KESHO,UMEWAZA VZRIshu ya kukifuta ndo imeisha au wamehamia kwenye plan B?
Vita bado tusisherehekee ushindi mapema.
mpango wao ulkua mzur sana, m nlitegemea hili
Keshalimwa na majaji, Rais na kesho TLS wanampa kitu chenye ncha kali.wow!
jamani jamani jamani.... mhurumieni Mwakyembe! mbona mpo hivo lakini??
Kwani Urais wa SACCOSS ya TLS nao ni dili? Waroho wa madaraka hapo ndiyo mmefika. Hatushangai hadi Udiwani, huwa Viongozi wa kitaifa huenda kuweka nguvu na matokeo take mnapigwa. Sasa yako ka TLS mbona ndiyo mmepata?
Umenena vemaHili suala lait lingefanyika jimbo la segerea! Anyway ni njia ya kujifunza!
100%Nadhani Lissu atashinda kwa zaidi ya asilimia 90 na sababu kubwa ikiwa ni kiki aliyopewa na serikali ya Magufuli.