Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,304
- Thread starter
- #81
Mpemba mmoja alikuwa anamfundisha binti yake kusoma. mba... mbe..... mbi... mbu..... mtoto akauliza mbona moja umeiruka? baba akajibu "hiyo utaisomea kwa mumeo.
hahaahahahahhahahaaaa mpemba vipi tenaaa!!!Mpemba mmoja alikuwa anamfundisha binti yake kusoma. mba... mbe..... mbi... mbu..... mtoto akauliza mbona moja umeiruka? baba akajibu "hiyo utaisomea kwa mumeo.
hahaahahahahhahahaaaa mpemba vipi tenaaa!!!
Haaaaahaaaaaaaaaaahhh we shossi wewe mi sisemi:lol::lol::lol:Wizi mtupu! Kumbe binti wa kipemba anaijua kama haijui mbona amemwambia babake ameiruka! Hahahahahahahaha
Haaaaahaaaaaaaaaaahhh we shossi wewe mi sisemi:lol::lol::lol:
Hahahahahaahahah du bibi wa ukweliiiii:lol:Bibi alienda kupiha x-ray, daktari akamwambia : moyo umetoboka katikati.. Na umevimba pembeni, pande zote mbili.. Bibi akajibu: wewe mtoto isije ikawa umenpiga picha matakoni
Bibi alienda kupiha x-ray, daktari akamwambia : moyo umetoboka katikati.. Na umevimba pembeni, pande zote mbili.. Bibi akajibu: wewe mtoto isije ikawa umenpiga picha matakoni
Hahahahahaahahah du bibi wa ukweliiiii:lol:
Hahahahaahah havijatulia kabisa haya bwana mpatie steak....unaendelaje mpenzi wangu jamani!!!Hahahahahaha Bibi wa mjini huyo.......leo bibi yangu kanichekesha nimemuuliza kama kawaida? Akanijibu kawaida ina mifupa anataka steak! Vibibi vya 21st century si mchezo!
Hahahahaahah havijatulia kabisa haya bwana mpatie steak....unaendelaje mpenzi wangu jamani!!!
Bibi alienda kupiha x-ray, daktari akamwambia : moyo umetoboka katikati.. Na umevimba pembeni, pande zote mbili.. Bibi akajibu: wewe mtoto isije ikawa umenpiga picha matakoni
Hii ni funiko la chuma lolBasi pata na hii.....
This seem fair what do u think? Husband & his wife agreed dat anytym dey wnt 2 v sex, dey wil cal it 'Fone call' so dat d kids wil nt knw. 1day,d husband was horny & snt his son 2 tell his mother dat he wnts 2 make a fone call.Mother replied: Tell ur father,d network is bad 2day,father says: tel ur Mother dat if dere is no network @ home I wil go 2 d 'public fone' wife replies: tell ur father dat if he dares go to a ''Public fone'' den I wil open a call center