laugh out loud loooooool

Siku moja Mr &Mrs walikuwa sebuleni, Mrs akataka "Kumsuprise" Mr wake, akaenda chumbani akaweka line mpya kwenye simu,then akampigia Mr wake aliemwacha sebuleni...! HELLOW DARLING..! Bila kujua ni Mrs wake, mume akajibu: KATA UPIGE BAADAE MAANA HILI LINGURUWE LIPO NDANI!
 
Bibi alienda kupiha x-ray, daktari akamwambia : moyo umetoboka katikati.. Na umevimba pembeni, pande zote mbili.. Bibi akajibu: wewe mtoto isije ikawa umenpiga picha matakoni
 
Hahahahahaahahah du bibi wa ukweliiiii:lol:

Hahahahahaha Bibi wa mjini huyo.......leo bibi yangu kanichekesha nimemuuliza kama kawaida? Akanijibu kawaida ina mifupa anataka steak! Vibibi vya 21st century si mchezo!
 
Hahahahahaha Bibi wa mjini huyo.......leo bibi yangu kanichekesha nimemuuliza kama kawaida? Akanijibu kawaida ina mifupa anataka steak! Vibibi vya 21st century si mchezo!
Hahahahaahah havijatulia kabisa haya bwana mpatie steak....unaendelaje mpenzi wangu jamani!!!
 
Kichaa aliamua kukatisha mbugani uchi wanyama walivyomona wakaanza kukimbia fisi akammuliza simba hata wewe unakimbia?simba akamjibu huyu myama wa ajabu sijawahi kukutana nae mkia wake upo mbele
 
Pale mzee mwasapile alipoona foleni imezidi kua kubwa akasema: Watu wapange mistari miwili.mmoja wa watu wenye pressure,kisukari na kansa na mstari wa pili watu wenye hiv/aids.watu wooooote wakapanga kwenye mstari wa kwanza.kuona hivyo babu akasema kumbe hii dawa ya ukimwi niimwage tu maana hakuna wagonjwa!!!watu wacha wapayuke!!!usiimwage babu,tafadhali,chonde chonde!!!
 
Cute Secretary came Angrily out of Boss cabin.
colleague asked: what happened?
She replied: He asked are U Free tonight, I said yes and Idiot gave me 50 Pages to type!!:redfaces:
 
Basi pata na hii.....

This seem fair what do u think? Husband & his wife agreed dat anytym dey wnt 2 v sex, dey wil cal it 'Fone call' so dat d kids wil nt knw. 1day,d husband was horny & snt his son 2 tell his mother dat he wnts 2 make a fone call.Mother replied: Tell ur father,d network is bad 2day,father says: tel ur Mother dat if dere is no network @ home I wil go 2 d 'public fone' wife replies: tell ur father dat if he dares go to a ''Public fone'' den I wil open a call center
Hii ni funiko la chuma lol
 

Similar Discussions

41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom