P wa ukweli
Member
- Jan 15, 2011
- 8
- 0
Jamaa mmoja alimkuta mwanae wa miaka 6 akiwa anawaza,akamuuliza unawaza nn?yule mtoto akajibu"ninataka kuoa,"yule baba akashtuka na akamuuliza,"kwa umri utamuoa nani?"akajibu si bibi yangu.yule baba akamjibu,"utamuoa aje mama yangu mzazi?(kwa ukali)."yule mtoto akamwambia mbona mimi sijakuchimba mikwara japo umemuoa mama yangu mzazi?
tehe tehe teheee! Hapo dingi huna swali, maneno lazima yakuishe.. Unakuwa mdogooooo!!