LATRA na kupanda kwa nauli

LATRA na kupanda kwa nauli

Nchi ya kipuuzi sana chini ya utawala wa ccm. Gharama za maisha zinazidi tu kupanda huku wananchi walio wengi wakiendelea kutaabika kwa ugumu wa maisha.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Mbona mafuta yakishuka nauli hampunguzi? Halafu msimzoee uyu Rais wasasa,mbona magufuli aliwaambia pakini magari kama mnapata hasara mbona mlikaa kimya? Serikali embu watakaogoma sitisheni leseni zao maana hiki ni kipindi cha mpito je? Mafuta yakirud watakubali kurudi kwenye bei ya zamani?
acha tuangalie nini kinatokea
 
acha tuangalie nini kinatokea
Yaani LATRA kwenye kuwasikiliza wamiliki wa Mabus ili nauli ipande wapo fasta mnoo! Ila mafuta yanaposhuka karibia kwa 40% Wala hawapo kuwatetea wananchi nauli zishuke na hutowasikia,na wamiliki wa Mabus watakuambia spare pia zipo juu! Hii Nchi Ina uongozi wa hovyo sana. Wananchi hawatetewi,wanatetewa wafanyabiashara
 
mwananchi hii nchi hajawahi kua na chake, sisi ni kusindikiza taifa tu
 
Back
Top Bottom