Las Vegas Jiji la anasa Duniani

Las Vegas Jiji la anasa Duniani

Las Vegas my foot!
Raha najipa mwenyewe.
Hata iwe ni kwa mama-ntilie bora roho imeridhika!
A man will walk around the world looking for something, only to come back home and find it!!

umeandika uharo gani wewe niga
 
Ni kweli Las Vegas haipo California bali ipo jimbo la Nevada. Mimi nilikuwa huko Agosti 2014 kwenye Mkutano wa Kibiashara kwenye Hoteli ya kifahari ya M Resort Spa & Casino. Mimi kwa bajeti yangu ndogo nilikaa hoteli ya South Point ambayo ipo jirani na M Resort. Ni kweli ni jiji la starehe nyingi, matajiri wapo wanafanya starehe huko za kila aina. Pamoja na starehe nyingi PIA WACHA MUNGU WAPO WENGI TU, Makanisa yapo mengi tu. Hivyo Las Vegas ipo kwa kila aina ya mtu, isipokuwa, uwe na fedha za kutosha kwani ni jiji ghali kwa kuwa matajiri wengi huenda huko kustarehe. Ukitaka unafuu bado unaweza kukaa Hostel, zipo nyingi tu. West Point nilipokaa ni Hoteli kubwa na nzuri sana na bei yake nafuu sana nilikaa kwa US$ 27 tu kwa siku pamoja na kifungua kinywa cha nguvu cha kujichotea mwenyewe asubuhi! Karibu kila Hoteli ina Casino na watu wanacheza kamari asubuhi, mchana na usiku - hadi Uwanja wao wa Ndege wa Kimataifa, kamari mtindo moja!
 
Hivi kweli watu mnaamini kwamba mimi niko Marekani?

Kama huwa nadanganya je?

Mna ushahidi gani kuwa kweli mimi nipo Marekani na si Ikungulyabashashi kwenye kijumba changu cha udongo kilichoezekwa kwa nyasi?
Hahaha what happens in Vegas remains in Vegas.....Kuna wana JF wachache hawaamini kama nakinukisha Cape of Good Hope
 
Las Vegas, Las Vegas, Bongo ndo mambo yote!
Acheni bwana!
Anyway kila mtu huinjoy alipo!
 
Arizona hivi kuna raia wanaenjoy kuwa kule jamani.
 
Acha fix wewe,las vegas iko Nevada..me huwa napenda kutembelea los Angeles{a.k.a city of angels}.ni kweli kabisa vegas ndo vurugu zote za kidunia zinafanyikia pale yani kuanzia kamari,utapeli hadi uzinzi.

Kwa hiyo kwa hesabu za haraka haraka ni kama vile kariakoo au posta au kino
 
Hiyo fedha c bora niwekeze kwenye upandaji miti,,ipo ck ntafaidika nayo...
 
Mkuu we ni mdau wa CHAPUTA nini maana hayo makampuni umetisha.

Kwani kuna ubaya kujua makapuni yanayoonesha mikanda ya x unaeza kuwa unajua kampuni ya x la sio mdau wa movie hizo

mbona wengi wenu humu mnajua makampuni ya ndege kibao kama Fly Emirates, KLM, BA wakati hata PW hujawahi panda

wengine wanajua ma bank makubwa kama wells fargo, baclays, AXA ila hata akaunti nmb huna
 
kama xhamster,we umezijuaje zote hizo?

ni makampuni yako kisheria na yanafanya biashara kwanini nisiyaue?
Kwani kuna ubaya kujua makapuni yanayoonesha mikanda ya x unaeza kuwa unajua kampuni ya x la sio mdau wa movie hizo

mbona wengi wenu humu mnajua makampuni ya ndege kibao kama Fly Emirates, KLM, BA wakati hata PW hujawahi panda

wengine wanajua ma bank makubwa kama wells fargo, baclays, AXA ila hata akaunti nmb huna



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom