C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,753
duu unayajua hayo makumpuni balaa
kawaida tu
duu unayajua hayo makumpuni balaa
Ukibahatika kwenda Marekani na ukawa na akiba ya viji cent usisahau kutembelea ktk jiji la Las Vegas lililopo ktk jimbo la California huko kuna starehe za kufa mtu,watu wanatumbua noti kama hawana akili nzuri vile.
Ndipo mara nyingi utawakuta kina John Cena,Broc Lesnar,na wrestlers wengine wakijifua na mazoezi,kuna ma kasino ya kufa mtu na ndipo filamu za X zinachezwa kwa wingi.cc:nyani ngabu.
Las vegas si ipo nevada ?? Kama huna hela unashauriwa usiende kuna siku nishawahi kupishana na floyde mywhere
ina maana wewe unajua kampuni zote za X mkuu? Hata Las vegas zipo nyingi sana,kinachofanyika ni kwa participants wa filamu hizo kuwa filmed Las vegas,kampuni kuwa california si lazima pia wawe filmed huko,kumbuka Las vegas ni jiji la anasa lililopo ktk jimbo la Nevada,(samahani nilikosea kwenye uzi)Nevada ndo jimbo kitovu cha marekani ktk mambo ya ulinzi na ndipo wanasayansi wa jeshi wanapotengeneza silaha hatari duniani ktk eneo la area 51,silaha ambazo hakuna taifa linazo duniani,najua anti-america watapinga,karibuni.