Las Vegas Jiji la anasa Duniani

Las Vegas Jiji la anasa Duniani

:usa: baby :usa: Baby Mandingo anachezea kampuni gani huko Nevada? Starehe zipo duniani kote hakuna sehemu yenye starehe nyingi kushinda nyenzake,starehe za binadamu ni ngono,pombe,massages,swimming,etc na vyote duniani kote vinapatikana,hata ukienda kantalamba au naminywili huko napo utapata starehe za kutosha Kama vile upo Massachusetts.
 
Last edited by a moderator:
acha kudanganya watu wewe nani kwakwambia Las Vegas iko Califonia acha uzwazwa

hata hivo nani kakudanganya kuwa Filamu za X zinachezwa kwa wingi Las Vegas nitajie kampuni moja kubwa tu ya filamu hizo iliyopo hapo nachojua makampuni kama

Evasive Angels, Digital Playground, Bang Bros, Naughty America, 3rd Degree, Anabolic ziko Califonia
kama xhamster,we umezijuaje zote hizo?
 
Nimezoea Ambiance pale corner bar mie vya uko las vegas nendeni wenzangu wenye nazo
 
acha kudanganya watu wewe nani kwakwambia Las Vegas iko Califonia acha uzwazwa

hata hivo nani kakudanganya kuwa Filamu za X zinachezwa kwa wingi Las Vegas nitajie kampuni moja kubwa tu ya filamu hizo iliyopo hapo nachojua makampuni kama

Evasive Angels, Digital Playground, Bang Bros, Naughty America, 3rd Degree, Anabolic ziko Califonia

duu unayajua hayo makumpuni balaa
 
Mkuu we ni mdau wa CHAPUTA nini maana hayo makampuni umetisha.
 
Ukibahatika kwenda Marekani na ukawa na akiba ya viji cent usisahau kutembelea ktk jiji la Las Vegas lililopo ktk jimbo la California huko kuna starehe za kufa mtu,watu wanatumbua noti kama hawana akili nzuri vile.

Ndipo mara nyingi utawakuta kina John Cena,Broc Lesnar,na wrestlers wengine wakijifua na mazoezi,kuna ma kasino ya kufa mtu na ndipo filamu za X zinachezwa kwa wingi.cc:nyani ngabu.

Nikikopa mkopo NMB kama sh. ngapi hivi inatosha kunipeleka huko mkuu?
 
Nishawahi kukutana na Don King mitaa hiyo. Jamaa alikuwa analindwa kuliko Mh. Pombe
 
Haya mambo tutazid kuyackia tu, serikali ndo ilikuwa kidogo inasaidia ku expose watu kutoa ushamba ulaya huko, ukipata kabahati ka kuajiriwa kitengo, saiv mshua amekata ndo hakuna tumain kabisa,private ni nadra sana hizo vitu
 
dah! Ukinambia habari za Las vegas chozi linanitoka kwani nakumbuka ile hustle nikiwa na jembe langu BANGO JEUPE ...mida kama hii tunavizia supu ya miguu ya kuku! Ah! We acha Maisha Haya!!
 
Last edited by a moderator:
acha kudanganya watu wewe nani kwakwambia Las Vegas iko Califonia acha uzwazwa

hata hivo nani kakudanganya kuwa Filamu za X zinachezwa kwa wingi Las Vegas nitajie kampuni moja kubwa tu ya filamu hizo iliyopo hapo nachojua makampuni kama

Evasive Angels, Digital Playground, Bang Bros, Naughty America, 3rd Degree, Anabolic ziko Califonia
Dah.. Mkuu na wale Private wanatokea wapi..?
 
Hivi kweli watu mnaamini kwamba mimi niko Marekani?

Kama huwa nadanganya je?

Mna ushahidi gani kuwa kweli mimi nipo Marekani na si Ikungulyabashashi kwenye kijumba changu cha udongo kilichoezekwa kwa nyasi?

Mimi naamini ila ulikuja siku moja kwa mzee Manyangu ulipokuja Bongo .
 
Hivi watanzania bado tunawaza starehe?
Rais tuliyenaye si wa starehe, tusubiri after 10yrs. Istoshe safari za nje marufuku.
Lini utakwenda Las Vegas?
Kwa sasa
Bia Nyumbani
Unyumba nyumbani!
 
Las Vegas my foot!
Raha najipa mwenyewe.
Hata iwe ni kwa mama-ntilie bora roho imeridhika!
A man will walk around the world looking for something, only to come back home and find it!!

Kwa mama ntilie lkn bei ukiichange na hizi za madafu.... uuwii
 
Kama unaongelea starehe hiyo popote nitafanya kwa viwango vyangu na mahitaji yangu, wala sihitaji kwenda Nevada. Binafsi ukinitajia marekani hiyo nevada inaweza hata nisiikumbeke kama ipo huko.
Maeneo yanayonivutia huko New Mexico, Texas, Kentucky, Indiana Polis, Arkansans, Philadelphia, Phoenix, Arizona, na Oklahoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom