Las Vegas Jiji la anasa Duniani

Las Vegas Jiji la anasa Duniani

Fanya kazi kwa bidi sevu na baadaye utaishi kama mfalme na miti utapiga kama huna akil nzuri
 
Nimeshakunywa ndovu za kule, za bariiiiiidi.
Teh Teh..wana Jf wengi wameishi Las vegas
Nikikopa mkopo NMB kama sh. ngapi hivi inatosha kunipeleka huko mkuu?

Nishawahi kukutana na Don King mitaa hiyo. Jamaa alikuwa analindwa kuliko Mh. Pombe

Dah nikikumbuka Las Vegas sina raha kabisa,maana huko ndiko nilipomalizia hela zangu zote nilizouzia nyumba ya urithi hapo Kariakoo.

dah! Ukinambia habari za Las vegas chozi linanitoka kwani nakumbuka ile hustle nikiwa na jembe langu BANGO JEUPE ...mida kama hii tunavizia supu ya miguu ya kuku! Ah! We acha Maisha Haya!!
 
Last edited by a moderator:
Starehe ya kipekee duniani nukupiga miti tuuu. Hamna kingine. Na utamu wake ni kwa mabbw ssbbw chubby maamaee I love fat black bittches
 
Ukibahatika kwenda Marekani na ukawa na akiba ya viji cent usisahau kutembelea ktk jiji la Las Vegas lililopo ktk jimbo la California huko kuna starehe za kufa mtu,watu wanatumbua noti kama hawana akili nzuri vile.

Ndipo mara nyingi utawakuta kina John Cena,Broc Lesnar,na wrestlers wengine wakijifua na mazoezi,kuna ma kasino ya kufa mtu na ndipo filamu za X zinachezwa kwa wingi.cc:nyani ngabu.
yah napapata man kweli ni booonge la jiji huwezi kosa superstar pale last time nilikuwa pale 2013 nikamuona penelope cruz
 
Kama unaongelea starehe hiyo popote nitafanya kwa viwango vyangu na mahitaji yangu, wala sihitaji kwenda Nevada. Binafsi ukinitajia marekani hiyo nevada inaweza hata nisiikumbeke kama ipo huko.
Maeneo yanayonivutia huko New Mexico, Texas, Kentucky, Indiana Polis, Arkansans, Philadelphia, Phoenix, Arizona, na Oklahoma

Mkuu upo serioz kweli? Oklahoma?
 
Kwani hiyo las Vegas kwa hapa Tanzania ni kama sehemu gani
 
ina maana wewe unajua kampuni zote za X mkuu? Hata Las vegas zipo nyingi sana,kinachofanyika ni kwa participants wa filamu hizo kuwa filmed Las vegas,kampuni kuwa california si lazima pia wawe filmed huko,kumbuka Las vegas ni jiji la anasa lililopo ktk jimbo la Nevada,(samahani nilikosea kwenye uzi)Nevada ndo jimbo kitovu cha marekani ktk mambo ya ulinzi na ndipo wanasayansi wa jeshi wanapotengeneza silaha hatari duniani ktk eneo la area 51,silaha ambazo hakuna taifa linazo duniani,najua anti-america watapinga,karibuni.

Vp na NASA ipo jimbo gani? Maana kweli mjuaji.
 
Kwani hiyo las Vegas kwa hapa Tanzania ni kama sehemu gani
kwa bongo hamna ila kidogo nenda mombasa kuna hotel inaitwa casablanca hapo ni balaa hapo utakuta kuna floor za makapuku na matajiri floor ya kwanza bei chee unaweza kuta mdada ancheza na nguo jukwaan floor ya pili unaweza kuta mwingine ila ye katoa nguo ya juu kabakia tu pichu kadri unavyopanda kwenda juu na malipo yanakuwa juu sasa uko juu usiniulize sana kuna nini nenda kajionee raha zilizokuwa huko juu yaan hata mtu aje akuchome kisu huwezi sikia maumivu
 
Jamani mtu ambie gharama ya kutoka bongo mpanga nevad,gharama za malazi n.k,ili tuelekee huko xmass
 
Ukibahatika kwenda Marekani na ukawa na akiba ya viji cent usisahau kutembelea ktk jiji la Las Vegas lililopo ktk jimbo la California huko kuna starehe za kufa mtu,watu wanatumbua noti kama hawana akili nzuri vile.

Ndipo mara nyingi utawakuta kina John Cena,Broc Lesnar,na wrestlers wengine wakijifua na mazoezi,kuna ma kasino ya kufa mtu na ndipo filamu za X zinachezwa kwa wingi.cc:nyani ngabu.

Kakola Kahama hiyo Las Vegas ni chamtoto.
 
jinga kabisa.. badala ukatembelee silicon valley.. unashauri las vegas kwann cha maana yanayotendeka huko hayana tofauti na ya uwanja wa fisi masenzese.. tofauti quality tu...
 
Sio mnasema tu hata mimi nimeenda hapo muda huu
 

Attachments

  • 1448961890436.jpg
    1448961890436.jpg
    77.8 KB · Views: 309
  • 1448961924220.jpg
    1448961924220.jpg
    79.6 KB · Views: 291

Similar Discussions

Back
Top Bottom