luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Na ndiko Nyani Ngabu hupost JF akiwa na vimwana
mmmh kweli! Embu akuje hapa ajibu
Last edited by a moderator:
Na ndiko Nyani Ngabu hupost JF akiwa na vimwana
Hivi kweli watu mnaamini kwamba mimi niko Marekani?
Kama huwa nadanganya je?
Mna ushahidi gani kuwa kweli mimi nipo Marekani na si Ikungulyabashashi kwenye kijumba changu cha udongo kilichoezekwa kwa nyasi?
Mkuu upo serioz kweli? Oklahoma?
amen! Kwani ya dunia hii ni muda mfupi tu ila ufalme wa Mungu ni wa milele!sterehe za duniani ni za mda tafuten ufalme wa MUNGU kwanza na hayo yote mtazidishiwa
haya chacha au kuna mtu ulimwambiaga uko kwa obama? Mbona watu wakiogelea mambo ya uko unatajwa weye? Ukiona ivyo siri yako ushatoboa. Just thinking.
Hata mi huwa nashangaa kwanini watu wanakupa promo za bure.Hivi kweli watu mnaamini kwamba mimi niko Marekani?
Kama huwa nadanganya je?
Mna ushahidi gani kuwa kweli mimi nipo Marekani na si Ikungulyabashashi kwenye kijumba changu cha udongo kilichoezekwa kwa nyasi?
Hata mi huwa nashangaa kwanini watu wanakupa promo za bure.
Nikikopa mkopo NMB kama sh. ngapi hivi inatosha kunipeleka huko mkuu?
Ujinga tu unawasumbua.
Na walio wajinga wataona nimewatusi kwa sababu wako wajinga na hawajui maana ya ujinga ni nini.
Ukiona jinsi watu wanavyonielezeaga humu utaishia kucheka tu.
Wapo ambao hudai mimi ni mzee [nina miaka kati ya 50 - 70].....utadhani walinizaa wao. Cha kustaajabisha zaidi ni hawajui hata nafananaje, hawajahi kuona kitambulisho changu chochote kile wala cheti changu cha kuzaliwa, na kadhalika.
Kuna vituko humu wewe...acha tu.
Wacha nisubiri mafao yangu niende nikajionee kabla sijafa.
:usa: baby :usa: Baby Mandingo anachezea kampuni gani huko Nevada? Starehe zipo duniani kote hakuna sehemu yenye starehe nyingi kushinda nyenzake,starehe za binadamu ni ngono,pombe,massages,swimming,etc na vyote duniani kote vinapatikana,hata ukienda kantalamba au naminywili huko napo utapata starehe za kutosha Kama vile upo Massachusetts.
Kama unaongelea starehe hiyo popote nitafanya kwa viwango vyangu na mahitaji yangu, wala sihitaji kwenda Nevada. Binafsi ukinitajia marekani hiyo nevada inaweza hata nisiikumbeke kama ipo huko.
Maeneo yanayonivutia huko New Mexico, Texas, Kentucky, Indiana Polis, Arkansans, Philadelphia, Phoenix, Arizona, na Oklahoma
Peleka ulokole wako jukwaa la dini
Sio mnasema tu hata mimi nimeenda hapo muda huu