Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 878
- 3,920
"Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
Hii miaka 5 itakuwa ni miaka ya kujisafisha huyu mama hakuna maendeleo makubwa yatafanywa akili, nguvu na fedha zitaelekezwa huko kwa wanasheria wa dunia ili washafushe upepo huko icc yaleyale ya kenya 2007
Hata afanyeje hawezi kujisafisha hiyo damu ya Watanganyika.Hii miaka 5 itakuwa ni miaka ya kujisafisha huyu mama hakuna maendeleo makubwa yatafanywa akili, nguvu na fedha zitaelekezwa huko kwa wanasheria wa dunia ili washafushe upepo huko icc yaleyale ya kenya 2007
Mkuu wa majeshi , IGP wajiandae kisaikolojia amri zao zilisababisha maafaa makubwa.
Unajua hao watu hawana akili kabisa!Basi walivyokuwa vichwa maji hio siku watablock cnn huku dunia ingine ikishuhudia uharamia wao.
Wenzio walizima internet wakajua watafanya watakayo billa dunia kujua. Nikikuwa nawaambia watu subirini mtandao uwake au wasiwashe milele.Unajua hao watu hawana akili kabisa!
Zama hizi huwezi kufanya uovu wowote ule hadharani halafu ujidanganye kuwa unaweza ukauficha.
Wako so detached na reality.
Larry Madowo, aliulizwa kwa nini hakuwepo Tanzania kurekodi matukio ya uchaguzi akasema anaogopa kuwa sodomized maana akikumbuka walichofanywa kina Boniphace Mwangi sio poaa...😂😂View attachment 3499106
SADC haikusifia !!!Please recallWasije tu wakaishia kusifia kama sadc