Laptop yenye vigezo gani ni nzuri kwa mwanafunzi wa Engineering

HSE Officer

JF-Expert Member
Apr 10, 2023
647
841
Habar ,
Kuna ndugu yangu anasoma Mechanical Engineering so ameniambia wanahitajika kuwa na laptop kulingana na course yao husika
Hivyo basi nimekuja kwenu kuuliza
Ni laptop aina ipi na yenye sifa zipi na ikiwezekana na bei yake kwa hapa Tanzania kwa Mwanafunzi wa Mechanical engineer.

Natanguliza shukran

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Laptop yoyote yenye core i5, RAM 8, SSD 256 GB mwanafunzi wa engineering anatumia.

Laptop ya sifa hizo kwa sasa unapata kuanzia laki 3 kuendelea kutegemeana na mahitaji yako ya ziada. Haya hapa chini mahitaji ya ziada
1. Touch screen.
2. Portabilty (thickness ya Laptop)
3. Rotation.

Ukihitaji laptop yenye sifa hizo hapo juu bei itazidi mara dufu kufikia around laki 6. Hizi bei nazungumzia kwa refubrished.

Ukihitaji mpya kabisa bei inazidi zaidi.
 
Njia nzuri ya kufanya maamuzi sahihi aulizie software Gani watatumia chuo, akishaijua aangalie minimum requirements za hizo software then achague laptop kutokana na hizo requirements.

Ama kama Kuna mdau humu alisomea hio course atusaidie wanatumia software Gani chuo.
 
Engineering courses zote zina CAD(Computer Aided Design) softwares. Nadhani hazitofautiani sana, kuna MATLab ambayo ni engineering software, multipurpose kwa courses nyingi, Siemens NX kwa automobile nk. Processor za Intel kuanzia Core i5 na kuendelea unafanya kazi zako bila shida, kingine ni graphic card iwe nzuri kwa ajili ya simulation, nvidia rtx 4090 will do.
 
-Storage iwe kwanzia 500GB- 1T
-RAM isiwe chini ya 8GB
-Screen resolution isiwe chini ya 1920×1080 pixels
- processor yenye nguvu (Intel i7 au nyingine yenye nguvu)
-Graphic Card yenye uwezo mkubwa

Kiujumla anahitaji computer inayomudu heavy software.
 
Km unakafungu kazuri kanunue macbook laptop utanishukuru for engineering and heavy graphics shida ya pc za windows as time goes on and unavyoongeza applications inazidi kua slow but MacBook new low down regardless of what load unavyoipa
 
Usichanganye CAD software na graphics software..

The worst computer kwa CAD software ni MacBooks na series zake ukilinganisha na windows pc , am speaking from first hand experience as CAD user..even some CAD software hazipo kabisa kwenye MAC version.
Alafu macs ni zamani sana kipindi tupo shule ndiyo zilikuwa na uwezo kidogo kuliko windows PC ila sasahivi zipo nyuma sana kwa matumizi serious ya CAD.

Speaking of suggestion..
i7 or i9 generation ya kuanzia 11 au 12
Ssd kunzia 500gb
Graphics version ya RTX series na siyo GTX series kuanzia dedicated 4gb memory itafaa
RAM 16gb,
Display kuanzia full HD au 4k fresh..
Charge lazima iwe inauwezo angalau masaa 4 mana Kuna muda itabidi anapigia desa na discussion..

Mkumbushe tu FIFA na matumizi ya laptop huku umeweka kwenye kitanda siyo mazuri kwa afya ya mashine.
Pia msisitize asiweke pilau/porn kwenye PC yakusomea na kazi.
 
I will take MacBook all day long it’s hardware is very smart jamaa innovation imekaa sawa mno
 
Laptop yoyote yenye core i5, RAM 8, SSD 256 GB mwanafunzi wa engineering anatumia.

Laptop ya sifa hizo kwa sasa unapata kuanzia laki 3 kuendelea kutegemeana na mahitaji yako ya ziada. Haya hapa chini mahitaji ya ziada
1. Touch screen.
2. Portabilty (thickness ya Laptop)
3. Rotation.

Ukihitaji laptop yenye sifa hizo hapo juu bei itazidi mara dufu kufikia around laki 6. Hizi bei nazungumzia kwa refubrished.

Ukihitaji mpya kabisa bei inazidi zaidi.
Kuna mali nilikua natumia
Lenovo p14s

Storage : 1tb ssd
Ram 32gig
Proc: amd ryzen pro 7
Graphc : 2gigs dedicated

Nadhani hii ingefaa
 
Km unakafungu kazuri kanunue macbook laptop utanishukuru for engineering and heavy graphics shida ya pc za windows as time goes on and unavyoongeza applications inazidi kua slow but MacBook new low down regardless of what load unavyoipa

Maybe hujaona windows pc under current processors. The are very fast na hiyo issue iko solved
 
Ila samahani mleta uzi, uniweie radhi hivi kweli mwanafunzi wa Engineering University hajui specs za computer anayotakiwa kuwa nayo kwa kozi yake?

Sometimes tunadhalikisha sana taaluma. Labda nikuulize anajua kidogo kuhusu computer au hajui kabisa?

Na kama hajui as part ya kujifunza mbona ni homework ya nusu saa tu anatakiwa kufanya hapo chuoni kujua kila kitu? Kama ni wewe Pole sana na kama ni ndugu yako as u said ACHA KUMTAFUNIA KILA KITU! THIS WORLD IS VERY CRUEL AND UNFAIR. Acha kijana ajifunze kujipambania. Narudia tena ulimwengu haujawahi kuwa na huruma, watoto na vijana walelewe kujitegemea
 
You can install wine and do all windows applications through that hata Linux does the same
Mac mpya Zinatumia Arm sio rahisi kama unavyofikiria, na performance penalty sio Chini ya 50%. Kama software sio native usitegemee performance yoyote ya maana.
 
Back
Top Bottom