VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 670
- 928
Haya mambo hayana muongozo, wewe kabla hujaenda kuchukua machine jua unataka mashine gani kwanza then anza kufuatilia specifications kupitia YouTube etc.
Hakikisha mpaka unaingia dukani unajua unachotaka, ukiletewa machine unajua kuikagua mwanzo mwisho. Sio unabadilishiwa Disk drive unashangaa windows inavyokuwa installed.
Mimi binafsi nina Lenovo Yoga, nilinunua refurbished imported from UK (Nilicheck genuine lisence kupitia Lenovo website, nikatia model number, Location ilisoma ilikuwa exported to UK(ina UK keyboard layout).
Mwaka wa pili sasa machine inapiga kazi. Napiga full stack development, blender (ina dedicated GPU), automation (SIEMENS TIA PORTAL), electrical schematic designs and simulation etc. Most of the time machine inakesha ipo kwenye power. Inaweza kaa kwenye power siku hata 3 inanguruma sina habari nayo.
Nimesema hayo sababu kuna watu wamesema Lenovo hamna kitu.
Swali sio HP, Dell au Lenovo, swali ni unataka machine kwa ajili ya nini. Jua unachokitafuta